Watafiti wa mambo Kaskazini mwa Misri wameshikwa na butwaa baada ya kuugundua mti mmoja mkubwa wenye umbo kama la binadamu tena mwanamke wa kike na kusababisha taharuki kubwan nchini humo
Habari...
Habari zenu.
Swali hili linawalenga wanawake wenzangu waliopo kwenye ndoa na wale wanaotarajia kuingia huko.
Kwanza nianze kwa kusema hivi kwa imani yangu mimi, ukishaingia kwenye ndoa hutoki...
Nimeleta kwenu matokeo ya uchunguzi wangu nilioufanya kati ya watu niliowataja hapo juu.
Kiufupi tu ni kwamba, inaonekana wazi kuwa mwanamke aliyeolewa ni rahisi kulubuniwa kimapenzi kuliko...
Maradhi ya moyo ni mengi ndugu, hapa nazungumzia yale yatokanayo na maumivu ya mapenzi, kila kiungo katika mwili kina maradhi yake pengine unaweza kujiuliza moyo uko ndani na hauonekani unapataje...
Pengine kama we ni mjasiriamali wa kula wake za watu nahisi tukio la askari kukutwa akila ndimi na askari mwenzie tena mke wa mtu litakua limekufundisha kidogo
Ni vigumu kuamini lakini ukweli...
Nikiwa napita pita mitaa ya mji wa watu nilikutana na kisa kimoja.
Nikiwa napita mitaa fulani fulani nikakutana na mkusanyiko wa watu kama kumi hivi na mwanamke akiwa ameshikilia kiuno...
Jamani kuna mada inayohusu mahusiano inaendelea Channel 10 na hoja kubwa ni tendo la ndoa hasa wakizungumzia wajibu wa kila mwanandoa katika hilo tendo.
Kwa mfano, wanajagili ni kwanini eti mtu...
Kuna mtu kaniuliza hilo swali PM,me nkamwambia patner wangu ni mvuvi,basi akanishangaa sana kudate na mvuvi..sasa najiuliza kwani wavuvi katiba ya sita na chenge kuna mahali imesema hawana haki ya...
Habari wandugu
Leo nimekuja hapa kuomba ushauri baada ya kuumia sana ndani ya nafsi mpaka sasa sitamani tena mapenzi.
Kifupi nilibahatika kumpata binti kupitia hapahapa Jamiiforums.
Kiukweli...
Leo nimemsikia rais Kikwete akiwaambia wahudhuriaji wa sherehe za kuzimwa mwenge wa uhuru kuwa nchi inahitaji rais kijana, Kikwete akaenda mbali zaidi na kusema "Asipokuwa kijana basi afanane...
Maisha ya Arusha ni tofauti na mikoa niliyotoka! Siku ya tatu baada ya kukanyaga ardhi ya Arusha nilishangaa kuona idadi kubwa ya wadada ni warembo sana,
Nikajua si muda nami nitapata mmoja basi...
Habarini za asubuhi wana Jamiiforums
Nombeni ushauri wenu, nina mpenzi . Jana nikauliza naomba kujua msimamo wako juu ya mahusiano yetu. Akajibu binafsi nina malengo na ndoto zangu kama unaona...
Jamani katika maneno ya kupeana demu atamka sikupendei mali zako nakupenda wewe tu maisha yangu yote,si muda mlefu umemuwowa ,okay baada ka ya mwaka mazoea yamepamba moto ,anabadilika na kuwa kila...
Mwezi septemba nilikwenda Arusha kufanya usaili kampuni fulani.
Jioni moja nikaenda kumtembelea classmate wangu enzi hizo form six.
Nilikaa mpaka saa nne usiku shemeji hajatia timu kutoka kwenye...
Tangu jana naona maada nyingi ni kuwaponda, mimi kwa jinsi nijuavyo wadada wengi wa Arusha ni watafutaji na si tegemezi kama mikoa mingine kama Dar na hata ukikuta huko mchachalikaji asili yake...
Naishi mkoa fulani hapa Tanganyika. Sehemu ninapofanyia kibarua kuna binti niko nae ofisi moja.. Ni mtu wa karibu kiasi cha kushea mawazo mara nyingi. Mwenzangu huyu aliolewa na kufanikiwa kupata...
Naamini wapo wanawake wa aina nyingi duniani lakini makundi haya matatu ndiyo yanajumuisha wengi wao:
1. Wanaofaa kuolewa: hawa huwa smart upstairs.a.ka akili.(haijalishi ni mrembo wa sura na...
Habari za weekend wana MMU.
Leo nimeonelea tujadili hii tabia ya baadhi ya wanaume, kupenda kukashifu wapenzi/wachumba za watu.
Unakuta mtu una mpenzi/mchumba wako, sasa bahati mbaya au tuseme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.