Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini humu ndani mimi nina kaka yangu, sasa kuna siku tulikuwa tumekaa na kaka dukani kwetu na mimi nikiwa ni muuzaji pale dukani alikuja binti mmoja ambaye kwa ule mtaa alikuwa mgeni...
1 Reactions
94 Replies
21K Views
Mapenzi mapenzini! Mziki nzuri tena toka kwa Mzee wa mabinti Fa,akimshirikisha best vocalist of all times ALLY kiba,wimbo unaitwa kiboko yangu umetengenezwa na Dr chali. Tusapoti muziki wetu...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Mama mmoja atelekezwa na mumewe kwa madai ya kuzaa kupita kiasi jijini Dar es Salaam. Mama mmoja mkazi Mabwepande wilaya ya Kinondoni nje kidogo ya jiji la Dar es salaam amevamia kituo cha ITV...
1 Reactions
34 Replies
7K Views
Swali kwa wadada Unakuta unaenda sehemu kukutana na dada, anakugandisha sio chini ya nusu saa, ilihali wakati unatoka mlipanga kabisa muda wa kukutana, na akakubali, na wakati unatoka mpaka...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari wana MMU. kazi yangu ni ujasiliamali, nimekuwa katika biashara kwa miaka mitatu na nikabahatika kukutana na mteja mwanamke 35 ambaye anamiliki kampuni flani, hivyo alinipatia tender ya ku...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
A secretary received an expensive pen from her boss as a birthday present. Later she sent a text to thank him. The boss's wife read the text, became furious & packed out of the house. The boss was...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ukitaka maisha ya stress na mshtuko jaribu kuowa wanawake wazuri au macelebrity, utajuta maana tatizo sio wao ila wanasumbuliwa sana na kila mwanaume anawatamani. na hata huku kutongozwa...
1 Reactions
83 Replies
38K Views
Kufutia Thread hii https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/742486-single-mums-and-dads-come-this-way.html. Iliyoanzishwa na mdau mmoja wa JF, ambaye ameuliza maswali ya msingi...
1 Reactions
61 Replies
9K Views
Mimi ni Kijana wa miaka 30. Nimezaliwa katika familia masikini, mkoani Kilimanjaro. Nimeanza kujitambua nikiwa na umri wa miaka mitano nikiwa mikononi mwa bibi wa mama yangu. Sikujua ni kwanini...
3 Reactions
81 Replies
10K Views
Hapa ni pamoja na mrejesho wa ushauri wenu wa ule uzi wa ameota nimemgegeda, kwa wanaokumbuka! Mzee mzima nikatongoza! bidada akanijibu ana mtu wake ila atanipa tunda na yupo serious anataka kuja...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Kuna Dada mmoja nimetokea kuzoeana nae maeneo tunakofanyia kazi hata yeye ni Mjasiriamali mzuri tu. Siku moja nilimkuta amekaa peke yake akionekana ni mtu mwenye mawazo mengi nikajaribu kumdadisi...
8 Reactions
53 Replies
11K Views
Daima upendo una sura mbili, japo wengi wanaijua moja wakati wa raha,faraja,kujirusha na zawadi kedekede wanaridhika na upendo huo, ila upendo unakipimo chake wakati wa shida waraha na wakati wa...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Habar wa MMU, bila kuwachosha niende kwenye topic. Nina jamaa yangu kaniomba ushauri kwamba anataka kumuoa mpenzi wake ambaye wanapendena sana, jamaa yangu katulia na mpenzi wake katulia sana na...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Hi guys I am a reserved kind of a common man, somehow Outgoing and a bit funny as well. I have a longing in me to have a lady company to share stuffs, challenges, get more insights on women and...
0 Reactions
73 Replies
6K Views
kwa wale machali wangu wa arusha,kuna jimamaa la kizungu jina kapuni viwanja vyake alihamis via via jmosi masai na j2 jioni utalikuta la fiesta ppf,jimamaa lina penda vijana mbaya,na mashaka ni...
1 Reactions
49 Replies
6K Views
Kuna watu sijui niseme ni upeo Mdogo katika mahusiano au ndio kukariri. Hawajui ata swali la kumuuliza mpenzi wake, kwa mfano mtu anakuuliza 1.Umenipenda au umenitamani? Nikujidanganya tu hakuna...
3 Reactions
58 Replies
24K Views
jaman naomba tusaidiane jinsi ya kumpata msichana mwenye mapenzi ya kweli maana siku hz weng walaghai
1 Reactions
81 Replies
9K Views
Jamani utajuaje mwanamke kakeketwa na kuna kitu gani utaona ili kuhakikisha kameondolewa na je wanapata stimu kivipi coz najua kale kadude ukikachezea kidogo tu naanza kuona mto rufigi so...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari zenu wana MMU. Nimekuwa nikikosa sana amani pindi inapotokea mpenzi wangu hafiki kileleni, siku zote nmekuwa fundi sana wa kumfikisha mpenzi wangu kileleni na yeye huwa ananipa hongera na...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…