Anahitaji mtoto

Anahitaji mtoto

Lovery

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
1,600
Reaction score
3,429
Habari wana MMU.
kazi yangu ni ujasiliamali, nimekuwa katika biashara kwa miaka mitatu na nikabahatika kukutana na mteja mwanamke 35 ambaye anamiliki kampuni flani, hivyo alinipatia tender ya ku supply bidhaa katika kampuni yake na ukweli kaniinua kiuchumi angalau naonekana ni mtu.

miezi 6 iliyopita alinialika sehemu kwa mazungumzo ya kibiashara..nami nikaenda. kumbe alikuwa na jambo binafsi na akaanza kunieleza kwamba anamiaka 8 katika ndoa na hajawahi kukamata ujauzito japo amepima hana tatizo ila mumewe hataki kupima.

ameniomba nimgegede mara moja tu japo apate ujauzito na atanilipa pesa ndefu, ila mtoto atakuwa wa mumewe.

nikamwambia anipe muda wa kutafakari jambo hili hadi leo ananiuliza sijapata jibu.

naombeni ushauri je nimgegede nichukue changu?
je nitakuwa nimeikosea damu yangu? au inakuwaje hapa?
 
Please, please usifanye hivyo kuna athari kubwa ya mambo hayo . Usifanye tafadhali utakuja juta baadae .
 
Du ndugu yangu na wewe naomba unijibu swali langu, mfano kweli umepokea hizo hela na kweli ukamgegeda akapa mtoto.Swali langu ni kwamba imagine mama huyo akaachana na mume wake ama kwa bahati mbaya biashara zao zikawa haziendi kabisa mpaka wakafirisika.Je siku ukikutana na huyo mtoto yupo mfano Salender Bridge anaomba pale na amechoka sana.Wewe utajisikieje?
 
Huu mfano wako umeniumiza sana mkuu. kuna jambo kubwa nimejifunza kwako asante
 
Habari wana MMU.
kazi yangu ni ujasiliamali, nimekuwa katika biashara kwa miaka mitatu na nikabahatika kukutana na mteja mwanamke 35 ambaye anamiliki kampuni flani, hivyo alinipatia tender ya ku supply bidhaa katika kampuni yake na ukweli kaniinua kiuchumi angalau naonekana ni mtu.

miezi 6 iliyopita alinialika sehemu kwa mazungumzo ya kibiashara..nami nikaenda. kumbe alikuwa na jambo binafsi na akaanza kunieleza kwamba anamiaka 8 katika ndoa na hajawahi kukamata ujauzito japo amepima hana tatizo ila mumewe hataki kupima.

ameniomba nimgegede mara moja tu japo apate ujauzito na atanilipa pesa ndefu, ila mtoto atakuwa wa mumewe.

nikamwambia anipe muda wa kutafakari jambo hili hadi leo ananiuliza sijapata jibu.

naombeni ushauri je nimgegede nichukue changu?
je nitakuwa nimeikosea damu yangu? au inakuwaje hapa?

mwaga ufuta baba ila kumbuka kumfuatilia mwanao kimya kimya hata kama asipokufahamu ili unasaba huo usije kukuletea matatizo badae yaani mwanao wa kike kuolewa na mwanao wa kiume!(what coinsidecy!! opppss!!)
 
Mpenzi wangu hawezi kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi

Started byLovery, 9th October 2014 23:31

Kuna binti flani kwa sasa tupo katika hatua ya mchumba, ni mpole na anatabia njema,

Kitu ambacho kinanitia mashaka juu yake ni tabia yake ya kupenda kugegedwa kila tukikutana tu yeye anataka dushe, inafikia wakati nikiwa na ratiba muhimu nakwepa kukaa nae faragha maana najua atalianzisha.

Swali ninalojiuliza endapo ikitokea nimepata safari hata kwa miezi miwili tusiweze kuonana na huyu binti nitachapiwa mara ngapi? maana hawezi kudhibiti mihemko yake.

Kwa wale wazoefu huyu atafaa kweli kuwa mke muaminifu kwa hii tabia yake?

$#it he@d!!!!
 
Bahati mbaya sana stori zako haziaminiki yaani full mahewa...
 
Tyta ni mashine tata humu mmu, yaani full file retrieval and easy access in case of need.
 
Last edited by a moderator:
Please msaidie huyo mama! Kuna " odita" mmoja tajiri kupindukia kazeeka bila mtoto na ndugu zake naona wamekaa mkao wa kula ili wagawane mali zake.

Jinsi ya kufanya: mwambie huyo mama amtafute mtaalamu yeyote wa afya amwambie siku ya yai kupevuka na siku ipi yupo likely kupata ujauzito. Baada ya hapo pimeni afya zenu kuepuka kuambukizana magonjwa ya zinaa na kisha kutaneni kimwili(USALAMA WAKO NI JAMBO MUHIMU SANA!)

PLAN X: Mwambie utampa mbegu bila kujamiiana ambayo hiyo naomba nikwambie faragha(PM)Hii ya pili ni rahisi tu na haitajiki dokta yeyote,na haijawahi kuandikwa popote ila ipo effective 80%! Kosa vitu vingine na sio mtoto na mbaya zaidiugumba upande wa mwanamume!
 
hapo mama huyo anai set tiggo yako iliwe na mume wake ili azidi kutajirika
 
Habari wana MMU.
kazi yangu ni ujasiliamali, nimekuwa katika biashara kwa miaka mitatu na nikabahatika kukutana na mteja mwanamke 35 ambaye anamiliki kampuni flani, hivyo alinipatia tender ya ku supply bidhaa katika kampuni yake na ukweli kaniinua kiuchumi angalau naonekana ni mtu.

miezi 6 iliyopita alinialika sehemu kwa mazungumzo ya kibiashara..nami nikaenda. kumbe alikuwa na jambo binafsi na akaanza kunieleza kwamba anamiaka 8 katika ndoa na hajawahi kukamata ujauzito japo amepima hana tatizo ila mumewe hataki kupima.

ameniomba nimgegede mara moja tu japo apate ujauzito na atanilipa pesa ndefu, ila mtoto atakuwa wa mumewe.

nikamwambia anipe muda wa kutafakari jambo hili hadi leo ananiuliza sijapata jibu.

naombeni ushauri je nimgegede nichukue changu?
je nitakuwa nimeikosea damu yangu? au inakuwaje hapa?

ulivyokuwa mchovu ungepata bahati kama hii wala usingeuliza.
 
ndio utambue kwamba shughuri zangu si za kukaa sehemu moja na kulala nyumbani kila siku.

Mpenzi wangu hawezi kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi

Started byLovery, 9th October 2014 23:31

Kuna binti flani kwa sasa tupo katika hatua ya mchumba, ni mpole na anatabia njema,

Kitu ambacho kinanitia mashaka juu yake ni tabia yake ya kupenda kugegedwa kila tukikutana tu yeye anataka dushe, inafikia wakati nikiwa na ratiba muhimu nakwepa kukaa nae faragha maana najua atalianzisha.

Swali ninalojiuliza endapo ikitokea nimepata safari hata kwa miezi miwili tusiweze kuonana na huyu binti nitachapiwa mara ngapi? maana hawezi kudhibiti mihemko yake.

Kwa wale wazoefu huyu atafaa kweli kuwa mke muaminifu kwa hii tabia yake?

$#it he@d!!!!
 
Mwambie with the right time atampata mtoto toka kwa mumewe kama Mungu amewapangia...subira ndio ufunguo wa kila kitu cha kheri.
 
Back
Top Bottom