Inaninyima amani moyoni

Inaninyima amani moyoni

NAHINGA

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2012
Posts
1,019
Reaction score
338
Habari zenu wana MMU.

Nimekuwa nikikosa sana amani pindi inapotokea mpenzi wangu hafiki kileleni, siku zote nmekuwa fundi sana wa kumfikisha mpenzi wangu kileleni na yeye huwa ananipa hongera na shukrani kwa kuwa na mtu ambaye si mbinafsi kunako old traford.

Ila kuna baadhi ya siku huwa nawahi kufika nikimwacha yeye njiani na inaniumiza sana hii.

Je ni mara zote wenzangu (kwa wale wanaume) munawafikisha wapenzi wenu kileleni au niamni tu kuwa kila siku siyo Jumapili?

Asanteni
 
Raha ya lile tendo ni ushirikiano sio unakua na jitu kama.gogo havinog mbadili na style bas mueke vile mbinue binue mshike pale akishikwa mwanamke husisimkwa...au hujui vizur jins ya kumuandaa au hujui jinsi ya kumfanya??? Akupe ushirikiano sio wewe ndo uanze na kumaliza
 
si lazima kila siku ufikishwe kileleni siku nyngne hata kuenjoy tu lile tendo inatosha.
 
si lazima kila siku ufikishwe kileleni siku nyngne hata kuenjoy tu lile tendo inatosha.

unaakili sana wewe...maana kuna style nyingine si rahisi kumfikisha mtu kileleni...kwa mfano cha jikoni haraka haraka huyo mtu kileleni anafika saa ngapi...au kwenye gari haraka haraka...
 
habari zanu wana mmu

nimekuwa nikikosa sana amani pindi inapotokea mpenzi wangu hafiki kileleni..... siku zote nmekuwa fundi sana wa kumfikisha mpenzi wangu kileleni na yeye huwa ananpa hongera na shukrani kwa kuwa na mtu ambaye si mbinafsi kunako old traford. ila kuna baadhi ya siku huwa nawahi kufika nikimwacha yeye njiani na inaniumiza sana hii..... je ni mara zote wenzangu (kwa wale wanaume) munawafikisha wapenzi wenu kileleni au niamni tu kuwa kila siku siyo jumapili?

ahssnteni

Wacha kupiga punyeto mara kwa mara.
 
Hapo sina ushauri zaidi, ebu kafanyie kazi waliyokwisha kwambia af utuletee tena uzi wa kitakachojili alaf ndo mm nitakupa somo.
 
sio kila mechi ya old Trafford ushinde wewe tu sometimes unapoteza kabisaa point tatu zote...so kubali siku zingine kutomfikisha kileleni,

ahsnte kwa mkuu nimekuelewa sna
 
Wacha kupiga punyeto mara kwa mara.

mkuu jamaa_mbishi sina tabia hiyo hata kidogo na kama umenifatilia vizuri nimesema nimekuwa fundi wa kumfikisha kileleni mpz wangu mara nyingi ila kuna wakati inatokea yy kutofika kileleni.
 
unaakili sana wewe...maana kuna style nyingine si rahisi kumfikisha mtu kileleni...kwa mfano cha jikoni haraka haraka huyo mtu kileleni anafika saa ngapi...au kwenye gari haraka haraka...

hahahaaa sr Bachelor, cutie Bee ni mkali sana .... nimemkubali kwa ushauri wake
 
Raha ya lile tendo ni ushirikiano sio unakua na jitu kama.gogo havinog mbadili na style bas mueke vile mbinue binue mshike pale akishikwa mwanamke husisimkwa...au hujui vizur jins ya kumuandaa au hujui jinsi ya kumfanya??? Akupe ushirikiano sio wewe ndo uanze na kumaliza

Mamaafacebook huyu wa kwangu ana ushirikiano 100% na nafanya manjonjo ya kila aina ila inatokea tu siku unafanya manjonjo yoote lakini kileleni hafiki ila ni mara chahche ndio hapo panaponinyima mm amani.
 
Mhhhhhh, naona chenga chenga, zungusha mlingoti signal ikae vizuri nikusome.

Back
Top Bottom