Naomba mtazamo wako kuhusu hili

Naomba mtazamo wako kuhusu hili

Bravo H

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2014
Posts
221
Reaction score
88
Habar wa MMU, bila kuwachosha niende kwenye topic.

Nina jamaa yangu kaniomba ushauri kwamba anataka kumuoa mpenzi wake ambaye wanapendena sana, jamaa yangu katulia na mpenzi wake katulia sana na ana heshima na sifa za kuwa mke.

Sasa tatizo aliomba nimshauri ni mpenzi wake ni mfupi na yeye ni mrefu, mpenzi wake anamfikia usawa wa kifua, anaona kama watu wataona ni kituko.

Mimi nimemshauli amuoe asiangalie watu watasema nini, asikilize moyo wake unataka nini.

Wana MMU mnaonaje urefu na ufupi ni tatizo kwenye mapenzi?
 
Muonekano si tatizo kwenye mapenzi ya kweli.

ha ha hahah uwii muulize kule kwenye mambozi ile mambo zinaishia kifuani pia? kama ni ndiyo basi aache
 
aoe tu lakini wasiongozane ata siku moja... jamaa ataonekana kaolewa
 
Makosa wanayo fanya wanawake wengi katika kuchagua mume. 1. Wanachagua mwanaume warefu na wenye misuli suli ila wadudwe vizuri. 2. Wanachagua mwanaume mwenye sauti kama gari aina ya fiat ili wakoromewe zaidi 3. Wanachakua mtu mwenye akaunti nene bank ili wanyanyasike. Badala ya kuchagua mwanaume aliye husband material wanaangalia mambo ambayo hayata wasaidia.
 
Habar wa MMU, bila kuwachosha niende kwenye topic.

Nina jamaa yangu kaniomba ushauri kwamba anataka kumuoa mpenzi wake ambaye wanapendena sana, jamaa yangu katulia na mpenzi wake katulia sana na ana heshima na sifa za kuwa mke.

Sasa tatizo aliomba nimshauri ni mpenzi wake ni mfupi na yeye ni mrefu, mpenzi wake anamfikia usawa wa kifua, anaona kama watu wataona ni kituko.

Mimi nimemshauli amuoe asiangalie watu watasema nini, asikilize moyo wake unataka nini.

Wana MMU mnaonaje urefu na ufupi ni tatizo kwenye mapenzi?
Kwani Huo ufupi kauona lini? Au kawa mfupi siku za hivi karibuni?
 
Kaaaaah jamani mbona yuda na ufupi wake alimpiga goliati pamoja na kuwa goliati alikua mrefu hahahha
 
wakati anafuata kwa lengo la kumfanya mke baadaye alikuwa wapi kukonsider hilo aende huko!!!!!!!!!
 
Habar wa MMU,
bila kuwachosha niende kwenye topic.

Nina jamaa yangu kaniomba ushauri kwamba anataka kumuoa mpenzi wake
ambaye wanapendena sana, jamaa yangu katulia na mpenzi wake katulia sana
na ana heshima na sifa za kuwa mke.

Sasa tatizo aliomba nimshauri ni mpenzi wake ni mfupi na yeye ni mrefu,
mpenzi wake anamfikia usawa wa kifua, anaona kama watu wataona ni
kituko.

Mimi nimemshauli amuoe asiangalie watu watasema nini, asikilize moyo
wake unataka nini.

Wana MMU mnaonaje urefu na ufupi ni tatizo kwenye mapenzi?

mara nying kama mwanamke ndo mfup hakunaga taabu tatizo ni mme? ila sion sheeda amuoe tu ilimradi wanapendana.
 
Mi sioni tatizo hata kidogo Hapo labda mwanaume angekuwa mfupi Ke mrefu ingekuwa shida kidogo.

Waoane tu kinacho matter ni mapenzi ya dhati na kuheshimiana.
 
ha ha hahah uwii muulize kule kwenye mambozi ile mambo zinaishia kifuani pia? kama ni ndiyo basi aache

Afu miss chagga hata sielewi whether umfupi, mrefu or whatever.

nikitambua hilo tunaweza kumake deal!!!
what do you think????????????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom