Usiulize maswali haya kwa mpenzi wako

Usiulize maswali haya kwa mpenzi wako

ACHINJEMERE

Member
Joined
Oct 19, 2014
Posts
42
Reaction score
19
Kuna watu sijui niseme ni upeo Mdogo katika mahusiano au ndio kukariri.
Hawajui ata swali la kumuuliza mpenzi wake, kwa mfano mtu anakuuliza

1.Umenipenda au umenitamani?
Nikujidanganya tu hakuna tofauti ya kupenda na kutamani.

2. Uliwai kua na wapenzi wangapi?
Ivi unategemea mtu atakuambia ukweli idadi ya wanawake au wanaume aliotembea nao ili iweje.

3. Umenipendea nini?
Apa ndio nachekaga sana, apa unategwa kila utachomjibu kua nimekupenda kwa ajiri ya kitu fulan anakuuliza nikipata ajar kikikatka itakuaje.

4. Eti uliwai kuugua ugonjwa wowote WA dhinaa mpenzi?
Nani atakuambia ukweli kama aliwai kupata gono au pangusa.

5.Bikra ilitoka Lini na alikutoa nan?
Inakuaje mtu anataka kujua bikra ya mtu ilitoka lin ,na kunafaida gan kujua hili.

Na wewe weka swali LA kizushi uliloulizwa na mpenzi wako.
 
Mimi ni wangapi kwako? aaah wewe ni wa 2 toka nizaliwe, ahaaaaa safi sana kwa kujitunza my dear, Mmmmm! mimi kweli ni wa pili? mbona kisima kirefu sana na ni kipana mno kuzidi ramani na mchoro halisi? aaaah, mimi huwa naendesha baiskeli yawezekana ndiyo imesababisha hii hali, mmmmmmmmmh.
 
mnachat au akupgia usku anakuuliza umevaa nini........ khaa nilkua sipend hili swali jaman..... ooh rangi gan? hata kama nyeus utasema nyeupe au pink mweeh!! yan sa hiv nkikutana na wa hiv nabadlisha na namba
 
Unanipenda kwa dhati kweli dear! Hutonisaliti jamani!
 
Doh mwengine anakuambia ukinisaliti nikufanyeje,,,,,, nikupe Maskhaf uape,,,,,
 
Mmh hakuna tofauti kati ya kupenda na kutamani?
 
Piga picha unitumie mpenzi nimeimiss hiyo kitu, Na mijitu mingine akili imeingia Ebola yanatuma kweli.
 
eti baby nikifa utatafuta mwanamke/mwanamme mwingine...na watu wanajibu hapana!!
 
mnachat au akupgia usku anakuuliza umevaa nini........ khaa nilkua sipend hili swali jaman..... ooh rangi gan? hata kama nyeus utasema nyeupe au pink mweeh!! yan sa hiv nkikutana na wa hiv nabadlisha na namba

hahhahah unamwambia nmevaa overlol la blue!!! ila hamjui tu, kale ka kipindi tumaswali twa hivyo tulikua tunaleta hamasa, hapo mawazo ya jamaa yashafika mbaaaaaaali
 
Kuna watu sijui niseme ni upeo Mdogo katika mahusiano au ndio kukariri.
Hawajui ata swali la kumuuliza mpenzi wake, kwa mfano mtu anakuuliza

1.Umenipenda au umenitamani?
Nikujidanganya tu hakuna tofauti ya kupenda na kutamani.

2. Uliwai kua na wapenzi wangapi?
Ivi unategemea mtu atakuambia ukweli idadi ya wanawake au wanaume aliotembea nao ili iweje.

3. Umenipendea nini?
Apa ndio nachekaga sana, apa unategwa kila utachomjibu kua nimekupenda kwa ajiri ya kitu fulan anakuuliza nikipata ajar kikikatka itakuaje.

4. Eti uliwai kuugua ugonjwa wowote WA dhinaa mpenzi?
Nani atakuambia ukweli kama aliwai kupata gono au pangusa.

5.Bikra ilitoka Lini na alikutoa nan?
Inakuaje mtu anataka kujua bikra ya mtu ilitoka lin ,na kunafaida gan kujua hili.

Na wewe weka swali LA kizushi uliloulizwa na mpenzi wako.

Mimi aliniuliza nikamwambia ukweli wangu kua sijui idadi kamili ya wanawake ambao nilishatoka nao yaan zaidi ya 50
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom