Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kama wewe nimwanaume, basi bila shaka unafahamu ile milio na miguno ya wanawake wakati wakujamiiana, na kama wewe ni mwanamke pia unafahamu kwamba huwa unatoa milio namiguno hiyo. Ni nini basi...
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Kadri mwaka unavyoenda kuisha na mwaka mwingine kufunguka, najua wapo ambao wameshapanga vijisafari safari vya London, Paris, Cape Town, na kwingineko huko mbele mbele. Wengine, japo vya...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Kuna mdada mmoja nimezoena nae kwa mwaka sasa na tumekuwa na mawasiliano ya karibu sana. Sikuwa namjua dada huyo ila baada ya kufika kazini kwake na kuhudumiwa nilijikuta navutiwa kuwa nae...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Hivi inakuwaje, Mara zote kama sio nyingi, Mwanaume/wanaume tunapoongea na wapenzi wetu/wake zetu, huwa tunaongea kwa Hasira sana, Mpenzi akiuliza "Upo wapi? Mtu anajibu.. "Unataka niwe wapi...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Wakuu za muda huu Wakuu inapita km mwezi sasa toka nipate rafiki huyu mpya kwenye mtandao....ilikuwa hivi niliweka tangazo lakuuza gari kwenye mtandao wa Instagram pia nikaambatanisha na Namba...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Kama unataka kuongeza viungo au mchangamko kwenye maisha yako ya kimapenzi ingia jikoni na hakikisha una vyakula kama hivi. Oysters (Samaki Gamba): These shellfish have been considered and erotic...
2 Reactions
106 Replies
72K Views
Sibagui dini,rangi au kabila,mdada alie tayari no hizi 0752905500
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi hilo neno hapo juu, unamwambia jinsia nyingine kabla au baada ya kugegedana? Mimi huwa nawaambia "u know, just for fun", msinicheke jamani, au nakosea nini? maana wengi...
0 Reactions
51 Replies
7K Views
1 Mwanaume asiye msikivu Mwanamke anajaribu kumweleza jambo lakini anakimbilia kujieleza bila kusikiliza au kujitetea kabla kusikiliza au kujifanya anajua mwanamke anataka kusema nini na...
9 Reactions
87 Replies
10K Views
Wakati nikiwa chuoni, siku moja mwalimu wangu wa Family Law alikuja darasani, akiwa anafundisha, alitueleza kuwa, "Unaona hata hapa chuoni, watu wanaokunywa pombe, wanaovuta sigara, na kuvaa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wengi wetu tumeshawahi kuwaona vibibi vya kizungu vikiwa vinazunguka na vijana wa kimasai wenye lubega hasa sehemu za beach (hasa Zanzibar & Dar es Salaam, au Arusha na kwingineko. Kiukweli huwa...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Hi wadau. Hili swala la mapenzi liko tofauti kidogo, Hakuna perfect person ila muhimu nikuangalia ni mtu gani mko na common interset ilo ndio muhimu, so dad na kaka zangu usijidanganye ukatafuta...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Tabia ya huyu dada wa mchumba wangu kunipelekesha kama gari bovu itasababisha mapenzi na ndugu yake yafe kwani imeshakuwa kero. Anavyopiga simu utadhani yeye ndo mchumba wangu. Mara utasikia...
0 Reactions
66 Replies
8K Views
Habari wanajukwaa, Kijana wenu nimerudi tena kuomba ushauri kuhusu hili suala linalonitatiza na kunivuruga kichwa kwa zaidi ya mwezi mzima. Wakati nipo chuo nilikuwa nna mahusiano na msichana...
2 Reactions
43 Replies
7K Views
Mwenzenu jamani nahisi nmechakachuliwa,nina mke wangu tumezaa watoto wawili mmoja yuko na miaka mitano na wa pili miwili,kati yetu mimi na mke wangu nahisi kuna kitu kinaendelea na nimefanya...
4 Reactions
64 Replies
8K Views
Mimi ni kijana Mtanzania naishi Dar umri 28 natafuta mpenzi wakike mwenye kujitambua na mapenzi ya kweli awe muislam ajue dini hata kidogo. Umri18-23 Natakae weza funga nae ndoa siku zijazo...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Wana jukwaa nilikuwa na mchumba ambae nilijua baadae atakuwa mama matoto wangu hivyo kulazimika kuingia garama ikiwemo kusomesha na huduma nyingine. Wakati bado tuko wapenzi nilijaribu kumpa...
1 Reactions
63 Replies
9K Views
Kama kuna mwanaume atapingana na hali hii huyo sio. Mwanamke anavutia, anatamanisha, analeta raha na anapendeza kwa macho ya mwanaume. Nadhani aliemuumba mwanamke alifanya makusudi maalium. Mimi...
1 Reactions
124 Replies
18K Views
Nilikuwa nimeboreka leo katika kutafuta channel ya kuangalia nikakuta kipindi cha channel ten kinaitwa NYOTA YAKO cha saa nne usiku. Wanaongelea nyota mbali mbali na maelezo yake kimapenzi. Mimi...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…