Natafuta mtoto wa kike wa kula nae bata leo. Aliyetayari aniPm, ni kuhave fun only.
Place na kila kitu tutapanga, awe mnywaji km hanywi asichukie pombe. Kwa sasa nipo Kwetu pazuri tbt .
Kati ya watu waongo sana katika mahusiano ni wanawake, kuna wakati wanatumia uongo ili kuokoa uhusiano wao.
Ila kuna wengine wanatumia uongo kwa sababu mwanaume hampendi.
Kuna wengine wanatumia...
Mimi ni mpenzi wa nyimbo za taarab hasa zile asilia.Kuna nyimbo ameimba marehemu isa matona unaitwa kimaso maso.
Kwa kweli nyimbo ile ina mafunzo tosha ya kitchen part kwa kina dada, kama...
Habari wanaMMU,
Husika na title tajwa hapo juu.
Nilitokea kumpenda best friend wa mpenzi wangu ambaye nimedumu naye zaidi ya miaka miwili.Kama mjuavyo ''men are polygamous by nature'' basi...
Nauliza swali litakuwa direct haina haja ya kumung'unya maneno, hivi huko na mpenzi wako katika hali ya romantic au kitangulizi au foreplay, okay Je anaweza kukupekuwa sehemu zote za mwili au...
Mungu ametuumba na silika za msukumo kimaumbile na kivionjo kuonja na kukitamani kama msukumo wa uzazi usingekuwepo dunia isingeenea binadamu kama ilivyo sasa ingawa wengine wamechukulia kama...
Habari zenu wana jamvi.
Naombeni maoni yenu /michango yenu.
Mie ni Mdada wa miaka 30 nima MBA ya UDSM na nimebahatika nimeajiriwa hapa DSM mitaa ya post mpya.Pia nina ishi na Virus visababishavo...
Siku ya kwanza atakuja na chupi 2, moja anaifua anaacha bafuni, nyingine anavaa asubuhi anaondoka.
Siku ya 2 anakuja na khanga,anaivaa usiku, asubuhi anaianika nyuma ya mlango anaondoka.
Siku...
Nikiwa na mwizi mwenzangu nikiwa nimemlaza kifuani katulia,huku nimemshika kiuno mara simu yake si ikaita, akaniambia mwenye mali anapiga,nikamwambia pokea tu.
Wakaanza kuongea huku nikimlaza...
Nimekutana na X wangu ,Ana mimba na yuko happy roho imeniuma…sana !!
Nakumbuka na naomba kutubu pia kipindi na date na wewe nilikua nasoma lakini ulinikubalia hivyo hivyo kuonyesha jinsi...
Habari za mchana wana JF, Jamani Duniani kuna mambo, Majuzi nilikutana na rafiki yangu wa kike wa siku nyingi akanipa habari za shemji yangu yaani mmewe.
Mwanaume hahudumii familia kwa lolote...
Lakini kabla ya kupata huo ujasiri, naombeni mnishauri wadau, katika nyumba niliyopanga, kuna mama mmoja nakaa nae, ana watoto japo wote wako shule, mme wake alifariki 2008, so huyo mama ni single...
Ndio kwanza mmeonana, wote mmependana ghafla,
Mnaanza mishe za kutongozana kubembelezana na kuwekana sawa pamoja na kufahamiana zaidi.
Tutoke,Tukutane pale,Twende kule, Tukapate burudani huku...
Wana JF nimekuwa kwenye mjadala na watu kadhaa takribani siku 2,kwamba hivi katika kizazi hiki cha utandawazi kweli wapo wanawake mabikra wanaofika miaka 30 au kuzidi. Ni kweli wapo
Habari za mchana wakuu. Poleni na shughuli za ujenzi wa Taifa.
Nimatumaini yangu kwamba wote hatujambo na wazima wa afya.
Nimejikuta nikiwaza na kuwazua juu ya jambo fulani; mahusiano na...
Habari zenu wanajukwaa, mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka 2, nina mchumba ambaye nina uhusiano nae takriban mwaka mmoja sasa.
Huyu binti nilikwishatoa hela za kishika uchumba tayari na nikamwahidi...
Tofauti na aina nyingine za viatu hivi inaweza kuvaliwa na nguo yoyote iwe sketi ndefu au fupi, gauni refu na fupi, suruali za kitambaa na jeans.
Kuweza kuhimili viatu virefu kunamfanya mvaaji...
Tarehe kama ya leo miaka miwili iliyopita ilinipasa kufanya mamuzi magumu ya kumwacha mpenzi wangu wa muda mrefu. Siku hii ikifika inanipasa kukumbuka si kila kitu ni cha kusamehe muda mwingine...
mimi nimsichana mwenye miaka 22. jamani sijui ninamatatizo ninampenzi wangu wa kike 1 na ninampenzi wa kiume cha ajabu na furahi sanna pindi napofanya romance na mwanamke mwenzangu kuliko...