Hivi wapo mabikra kuanzia 30yrs na kuendelea? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi wapo mabikra kuanzia 30yrs na kuendelea?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by dos santos, Feb 1, 2011.

 1. d

  dos santos JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 240
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Wana JF nimekuwa kwenye mjadala na watu kadhaa takribani siku 2,kwamba hivi katika kizazi hiki cha utandawazi kweli wapo wanawake mabikra wanaofika miaka 30 au kuzidi. Ni kweli wapo
   
 2. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Wapo maana siku hizi wachina si wanazitengeneza? Hivyo zipo!
   
 3. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mi ninayo originale........wanna test?
   
 4. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Zipo kwa walokole labda, miaka 30 ?lin sasa mtu ataanza kuexperience kale kautamu jaman
   
 5. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  wakati wewe utamu wako unaishia, wa wenzako ndo unaanza!
   
 6. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  wapo wengi.....mi ninayo but am not yet 30....nitakujibu when i get 30 kama bado ntakuwa nayo.......:A S 20::twitch::sick::horn::first:
   
 7. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna bikira at the age of 30. Akina michelle wanatudanganya tu
   
 8. d

  dos santos JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 240
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  poa tu
   
 9. katt williams

  katt williams Member

  #9
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 9, 2009
  Messages: 31
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa avatar tu unaonyesha huna bikra zote 2
   
 10. Path Finder

  Path Finder Member

  #10
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nashindwa kuchangia, ila natamani kuwafahamu walizonazo!
   
 11. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Zipo hata za kununua dukani. Yaani "replacement of the original"
   
 12. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #12
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Iukwel ni kuwa zipo. Katika kundi la wanawake, wapo wengi (may be more than 20%) wanaoanza ngono above 30. Wapo na nimeshakutana nazo sometimes... lol.
   
 13. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  sikujua nawe uko JF uliyeitoa,duh nimeumbuka........!!:A S 20::A S 20:
   
 14. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  I like people who are up to date like you,mwambieni mwenzenu aache fikra za kuwa hatuna....tunazo....l.o.l
   
 15. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #15
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona wanawake wako kimya?????????????????? Ndo wanatakiwa kusema tunazo!!!!!!!!!! Akina Michelle wanatuzuga tu kwa hizo za kichina?? Ambazo hata kabla kitu hakijatia timu ndani, njia ilishakuwa nyeupe na laini kupita!!!! Wapi, hakuna bikira hata miaka 13 kwa msichana ni ndoto siku hizi!! Anyway, siyo kitu cha kujivunia kweli. Dunia imekwisha.. Mie nakumbuka enzi zangu zile natafuta totos, tulikuwa tukiviringishana porini takribani masaa 5, utafikiri umebaka, kumbe umepewa kwa moyo mweupe lakini kupatanj..a ya kupitish ilikuwa shughuli pevu, lakini siku hizi, kazi nyepesi sana!!!
   
 16. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #16
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Na wanaume wapo 'mabikra wa over 30'?
   
 17. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #17
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Swali zuri sana Tuko

  Jibu ni WAPO:thinking:
   
 18. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #18
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sitaki kusingiziwa. Sijaitoa ya kwako, ila nimewahi kutoa mbili tu. Siku hizi hazipo. Hata hizo za kichina ulizosema, siyo lengo la mtoa mada. Kubali tu kuwa huna, mambo yaishe. Tuwaombee ninyi msiruhusu kuzitoa au tuombewe sisi wanaume??? Nani mwenye mamlaka ya kutolewa na kubakiza bikira???????
   
 19. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #19
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Oyaaa,kama hukuitoa wewe tulia.....usizungumze on my behalf....nimesema ninayo...
   
 20. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #20
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  hiyo ni artificial tunataka natural
   
Loading...