Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,245
- 2,857
Kati ya watu waongo sana katika mahusiano ni wanawake, kuna wakati wanatumia uongo ili kuokoa uhusiano wao.
Ila kuna wengine wanatumia uongo kwa sababu mwanaume hampendi.
Kuna wengine wanatumia uongo ili kupanga michepuko yao, wanawake wa jf, ni mara ngapi umetumia uongo ili kuokoa penzi lako na ilikuwa umekosea nini? au ni mara ngapi umetumia uongo kukwepa usumbufu kwa mtu ambaye humpendi?(au kupanga michepuko isijuane)
Huu hapa ni baadhi ya uongo wanaoufanya wanawake
(i)Bady tutaongea baadae nina kazi nyingi kwa sasa
(ii)Jamani honey sikuweza kupokea simu b'coz nilikuwa kwenye kelele
(iii)Sweaty sina credit that why sijajibu sms yako
(iv)Tuko kwenye kikao nitakubipu baadae honey
(v) Simu haikuwa na chaji jamani(hapo alikuzimia simu)
(vi)Nipo na baba yangu usinipingie simu
(vii)Naumwa kesho hatuwezi kuonana
(viii)Nyumbani kuna mgeni sitaweza kuja leo.
(ix)Nipo safarini nitakutafuta baadae(kwa sauti ya chini)
(x)Yaani ulivyoniongezea salio tu, likakatwa nilikopa