Habari zenu ndugu marafiki, mimi ni jamaa ambaye nimekosa rafiki wa kike kwa kipindi kirefu sasa, kutokana na wengi wao kuniogopa.
Kwa hali hiyo nimeona nichukue fursa hii kutafuta rafiki wa kike...
Jamani nimeota nambusu Ex wangu ambae alikufa ila alikufa wakati tukiwa tumeachana tayari, alipata ajali wakati anakimbizwa hospitali akafia njiani miaka mingi kidogo ila cha kushangaza eti leo...
Habari za hapa?
Imekua ikionekana kawaida kwa kijana wa kiume or mwanaume kukunja virago vyake na kuhamia mazima kwa mwanamke.
From my point of view nahisi hii kitu haifai kabisa! kwani huo ni...
John ni rafiki yangu sana, anaishi Dodoma wakati mi naishi Kahama. Huwa nampa story kuhusu mchumba wangu. Pia mchumba wangu nshawahi kumwambia nina rafiki anaitwa John lakin hawafahamiani.
Juzi...
Vitu nane vya kipumbavu ambavyo wadada hufanya katika mapenzi:-
1.Kuishi na mwanaume ambaye hajakutolea mahari au kukuoa
2.Kukubali kuwa mchepuko.
3.Kuvaa pete ya uchumba ya mwanaume ambaye even...
Habari zenu wapendwa,Mimi kuna jambo nahitaji mchango wenu na mawazo yenu kwa ujumla kwanza ningependa nijue hivi ni vitu gani haswa ambavyo mwanaume anaangalia kutoka kwa mpenzi wake ambavo ni...
Wapendwa,
Nitakuwa mtovu wa fadhila nisipotumia wasaa huu kuwashukuru wanajukwaa waliochangia kwa ushauri na mawazo mbadala juu ya bandiko langu la awali "Natafuta mwanamke Mpweke"
Hakika...
Nawasalimu wote,
Mimi ni kijana wa kiume na Nina age 26 , tatizo langu ni kuwa mpaka sasa na miaka yangu hiyo sijapata mwanamke ambaye nimedhamiria kuwa nae katika maisha yangu. Nimesoma chuo...
Habari wana jf naomba munijuze kwamakini hili neno utamu lina maana gani na wap mahala sahihi kutumika, maana mtu akila asali husema tamu, akila ndimu husema tamu akifanya mapenz husema matamu...
KURINGARINGA KUNAVYOWAPONZA MABINTI.
Kuringa kwa wasichana wa kibongo ni athari za malezi. Ulaya mtoto wa kike na kiume wanakua pamoja wanahug, wanajuana zaidi but responsibly.. coz...
MAPENZI YA BANDIA.
Mara nyingi tumekuwa tukiskia neno bandia katika bidhaa,na vitu tofautitofauti,lakini katika mapenzi unaweza kuwa katika mahusiano yaliyotawaliwa na hisia bandia.
Ukipata...
Kwa mujibu wa chapisho moja la World Health Organization (WHO), la hivi karibuni, limebanisha kwamba tofauti ya vifo vyamama wajawazito kati ya nchi zilizoendelea na nchi zinazoendelea ni kubwa...
Yapata mwaka jana nilikutana na mpenzi wangu huyu shoprite anauza nguo.
Tukapendana mimi wa Kigoma yeye upareni moshi.
Sasa mwaka huu mwezi wa nne nimepata kazi mkoani ya miaka miwili na kwakua...
Natafuta mchumba(a girl) awe na mapenzi ya kweli....vigezo. Mkristo, mchamungu, mweupe naturally, mrefu wastani, mnene kidogo, hips za kubwa kmtindo, 18-20 in age, form 4-6 in education.if you are...
Kwa wanawake; Kama umeolewa lakini mara nyingi unatongozwa na watu wa rika zote wazee,size yako,vijana na hata wanafunzi.
Tena wanaokufahamu kuwa umeolewa na mumeo anafahamika! Usifikiri...
wapendwa habari zenu,mie ni kijana wa kiislamu mwenye umri wa miaka 25,nilikuwa natafuta msichana wa miaka kati ya 2O hadi 23 awe ni mwislamu.Elimu kuanzia kidato cha nne au sita na awe na ujuzi...
Wanajamvi,
Nimefanya kautafiti sehemu kama tatu hivi, mrejesho wa utafiti:
Mchina ni mtu hatari sana kwa maendeleo ya jamii yetu ya kitanzania, ujio wa mchina umebadili sana mwonekano wa uhalisia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.