Ushauri wa haraka jamani

neema pita

Member
Apr 26, 2012
30
6
mimi nimsichana mwenye miaka 22. jamani sijui ninamatatizo ninampenzi wangu wa kike 1 na ninampenzi wa kiume cha ajabu na furahi sanna pindi napofanya romance na mwanamke mwenzangu kuliko boyfriend wangu nimejaribu kuacha nashindwa nimiaka 6 sasa nitumie dawa ganni jamaan au ndio nimeshaaribika hivyo
 
Oooh... Binti, una mpenzi msichana mwenzio?? Heee... Hii kitu imekuwa janga la kitaifa jamani..
 
two questions, answer truthfully:
  1. are you emotionally attracted to your gf?
  2. do you feel the same towards your bf?
 
nilikua nasoma Bwiru girls sasa kulikua na mambo ya kijembe, best, sweet, na ukifika lazima upate best, sweet, darling waliokutangulia vidato ndo wanaokuomba nikama mtu kukuaproach ukikubali ndo mnakuwa mnafanya hivyo so nilianza nikiwa form onne jaman mpaka wakati mwingine nachukia basi tu
 
Unaweza acha ukiamua kwa dhati; sijawahi kupitia huko so l can't say for sure. Ila nina imani kwakuwa ulijifunza unaweza acha tu.
 
binafsi kwa sasa nachukia sana na nikijaribu kuacha yule rafiki angu wakike hataki na akiwa karibbu yangu basi nakua weak
 
nilikua nasoma Bwiru girls sasa kulikua na mambo ya kijembe, best, sweet, na ukifika lazima upate best, sweet, darling waliokutangulia vidato ndo wanaokuomba nikama mtu kukuaproach ukikubali ndo mnakuwa mnafanya hivyo so nilianza nikiwa form onne jaman mpaka wakati mwingine nachukia basi tu

chineeeekeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

kamuone mwanasaokolojia

ndo maana sitaki kusikia wala kuelezwa khs boding
 
nilikua nasoma Bwiru girls sasa kulikua na mambo ya kijembe, best, sweet, na ukifika lazima upate best, sweet, darling waliokutangulia vidato ndo wanaokuomba nikama mtu kukuaproach ukikubali ndo mnakuwa mnafanya hivyo so nilianza nikiwa form onne jaman mpaka wakati mwingine nachukia basi tu

badala ya kusoma unafanya uzandiki,inaelekea mlikuwa mnalalana na huyu sweety wa jinsia yako mlipokuwa bwiru au?tubuni na mmrudie bwana Mungu haraka.
 
two questions, answer truthfully:
  1. are you emotionally attracted to your gf?
  2. do you feel the same towards your bf?

naenjoy zaidi napokua na gf wangu kuliko napokua na bf na nampenda sana bf wangu lakini kimapenzi naridhhika zaidi na gf wangu
 
binafsi kwa sasa nachukia sana na nikijaribu kuacha yule rafiki angu wakike hataki na akiwa karibbu yangu basi nakua weak

Huwezi kuwa naye mbali?

Boyfriend wako ni muelewa? Kama ndiyo basi mshirikishe akusaidie kumpiga stop huyo galfriend wako.
 
ahaa, kumbe kijembe sometym kibaya! any way mi nijuavyo boarding panakuwa open na mnalala wengi chumba kimoja, sasa mnakuwa mnafanya mda gani? hamuonekani.
 
girls ni mbaya sana jaman, mnafanya usiku na siku ukilala kwa kijembe wako au darling watu wanajua kabisa fulani kavusha hivyo lispect na mnazipa mashuka pembeni mwa kitanda kama kuna redio kunakua na mziki laini hivyo kwakua nikawwaida hata kwa wengine hawaoni kama ni kitu cha ajabu
 
naenjoy zaidi napokua na gf wangu kuliko napokua na bf na nampenda sana bf wangu lakini kimapenzi naridhhika zaidi na gf wangu
  1. do u think about her mnapokuwa apart?? (daydream, longing etc)
  2. how about ur bf?
  3. do u see urself living with another woman assuming ur family accepts?
 
Huwezi kuwa naye mbali?

Boyfriend wako ni muelewa? Kama ndiyo basi mshirikishe akusaidie kumpiga stop huyo galfriend wako.

nasoma na chuo kimoja sasa nashindwa kumkwepa ghafla, boyfriend wangu sio muelewa kabisa na amekamata msg nyingi kutoka kwa mpenzi wangu huyo na kuhisi kuna mwanaume anapitia kwake kuwasiliana na mimi nikimshirikisha atanitoa kizazi
 
Then it is up to you sasa, kama kweli hutaki kuendelea kufanya huo mchezo unaweza kuacha. Be strong, n mwambie it is over now!

Nimeweza acha mambo mengi kwa kuamua na kusali. Kama ni mkristu, funga hata kwa siku 3 ukiomba kuepukana na hilo pepo.
 
imefikia hatua nachukia sana
 
Back
Top Bottom