Wanawake mnaotaka kuolewa pitieni hapa

Wanawake mnaotaka kuolewa pitieni hapa

Mkulima na Mfugaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
1,057
Reaction score
1,868
Mimi ni mpenzi wa nyimbo za taarab hasa zile asilia.Kuna nyimbo ameimba marehemu isa matona unaitwa kimaso maso.

Kwa kweli nyimbo ile ina mafunzo tosha ya kitchen part kwa kina dada, kama wanawake watafata yaliyomo kwenye wimbo ule ndoa zenu zitakuwa shwari.

Bahati mbaya sina mashairi yake ningeyaweka tukashea wote, kama umeusikiliza ruksa kushea na kama unanyimbo nyingine ruksa kuweka.
 
sasa umejuaje mashairi ni kitchen party wakati hujui hata mstari mmoja mfyuuuu
 
wanafundishwa laivu na na watu wazima hawaski watakuja kuskia kwa wimbo? Hawaambiliki walio weng sku hizi hata wafanyiwe ktchen party kila baada ya miez 6
 
mambo mazuri mnataka mfanyiwe tu nyie mukwendeeeeee kazi kujifanya malkia wa nyuki
 
haa hapa mambo ni taarabu! haya wanaume mnaotaka kuoa sikilizen 'mjini chuo kikuu ya hadija kopa
 
Back
Top Bottom