deejaywillzz
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 637
- 224
Habari wana JF, Kuna majina tumekuwa tukiiga wenzetu na kuwaita marafiki ambao sio wapenzi na yamezoeleka.
Kama: mpenzi, baby, sweety, wangu, luv, luvy, mchumba, horney na mengine mengi. Hii inasababisha wapenzi wasiweze kutofautisha kati ya michepuko na rafiki.
Je wewe utakubali mpenzi wako wa kiume amwite rafiki yake majina kama mpenzi au wangu. Na wewe Mwanaume utakubali demu wako amwite rafiki yake wa kiume mpenzi au wangu?