Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,368
Wengine wanasema mapenzi yanaangalia hela ila mapenzi ni feelings bhana.
Awe na kitu au hana ila you just care for her/him.
Unakuwa happy kwa uwepo wake,unamhurumia,unamjali.
Hata akikuumiza bado unafeel ni yeye umpendaye.
Unalia but you still want to see her/his face.
Unakuwa unafeel,kama mmezaa ukiangalia sura ya mtoto unamwona,utamchuniaje wakati ukikaa chini unajiuliza mwenzangu atafeel vipi?haumii kweli?
Warembo wanaoweka hela kipaombele ni dalili za umalaya.