katibasitti
Member
- Nov 10, 2014
- 61
- 37
Usimuamini bwana au bibi anaejifanya eti ana uhusiano wa karibu na aliyekuwa ex-boyfriend au girlfriend.
Wabaya sana hawa watu kwa asilimia 90% kuendeleza mawasiliano ya karibu.
Usimuamini bibi au bwana atakayehalalisha ushirikiano kama biashara na mawasiliano ya karibu na mtu aliyekuwa anamfuatilia au kufuatiliwa nae (flirting).
Ukiamini utakuwa mjinga.