superstar1
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 222
- 176
Hivi kwanini siku hizi kupungukiwa nguvu za kiume ni ishu sana? (Upungufu kwa maana ya kutosimamisha, sio kutotoa mbegu hai).
Kwamba wanawake siku hizi wanapenda ngono sana? Na wanaume wanahangaika kuwaridisha? Kila mtu nguvu za kiume, nguvu za kiume, nguvu za kiume.
Mbona mademu wengi tu magogo kwa bed lakini hatuwatafutii dawa? Yaani unaenda na demu sehemu, halafu ni jukumu lako kuhakikisha uume inasimama na kufanya mapenzi, yeye hafanyi kitu chochote.
Halafu isiposimama eti anashangaa, Kunatakiwa kuwe na stimulus ndio isimame bana!! Eti mpo wote kitandani amejigeuzia huko, hana time na wewe, halafu out of the blue analeta mkono anaigusa, anakuta imelala anaguna tu.
Halafu eti anashangaa kwanini kaikuta imelala, eti anauliza una matatizo?
Yaani anataka isimame yenyewe, kwani kijiti hiki ebo!!! Ikisimama kila saa si ntakuwa kichaa?
Yaani mimi nisiposimamisha ni ishu hivo kwa walimwengu?