Baadhi ya wasichana hawajui wala hawajawahi kufika kileleni

sangwine

Senior Member
Jun 16, 2013
144
170
WanaJamiiForums wenzangu nahitaji wenu msaada hasa katika suala zima la kufika kileleni kwa mwanamke kupoje. Kwani ni jambo ambalo bado sijapata majibu sahihi ya kuridhisha.

Siku tatu zilizopita nilikuwa na demu katika mahaba, mambo yalikuwa hivi nilipiga bao la kwanza kama ndani ya dakika 4 hivi, baada ya dakika kadhaa nikapanda tena juu ambako nilisugua kitu kwa dakika kama 13 kabla hajafika na demu akisema amechoka, ikabidi nibadilishe Condom after changing it nilisugua kwa dakika kama 20 tena ndipo nikapiga cha pili huku demu akigoma cha tatu katukatu.

Kesho yake demu anananiambia miguu inamuuma, nikauliza kwani jana ulifika kileleleni vizuri anasema hajui.

Je dalili gani zawezanijulisha kuwa demu kafika kileleni wadau wangu?
 
msemakweli2

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
1,635
2,000
mkuu kufika kileleni sio swala unknown binafsi huwa sisex na demu bila kuhakikisha namfikisha kileleni "that is my moto" dalili ya kwanza utamsikia demu anaanza kutoa miheng'emko ya utamu akiashiria utamu unamzidia kama akinogewa vzr utamsikia akianza kukuita majina mazuri kama baby,oooooh sweethart,ooooo we ndo mwanaume wangu n.k,lakini pia demu anapofika kileleni lazima utajua kwakuwa chini huko panakuwa tapatapa yaani anakuwa amesha kojoa so maji yanzid,kimsingi ukitaka kufaidi penzi hakikisha mwanamke ndo anaanza kufika kileleni kwanza then wewe ndo umfuate sio wewe uanze,kimsingi mwanamke ukimpa penzi vizuri akifika kileleni huwa anachoka na miguu huwa inamuishia nguvu ni jambo la kawaida kbs.
sangwine
 
Last edited by a moderator:

suregirl

JF-Expert Member
Jun 8, 2012
6,070
1,225
Swadakta!!!

barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
31,654
2,000
sangwine

Demu kufika kileleni sio wewe kupiga bao nyingi au kwenda muda mrefu. Demu anaweza kufika kileleni ndani ya dk 10 kama utakuwa umemuandaa kabla. Ishu sio kuchomeka na kutoa dushe lako ndani. Ni grinding the right erogeneous spots. Huyo demu atakukimbia, maana unachofanya ni kumchosha tuu wala sio kumpa raha. Msome, je ana uwezo wa kufika kilele wakati anasex, au la. Kuna mademu wanafika kileleni, si lazima usex nae nikimaanisha uingize dushe lako ndani. Unatakiwa umjue, na pia jifunze mbinu za kumfikisha ikiwemo kujua mitindo ya kumwezesha kufika kileleni.
 
Last edited by a moderator:

Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
56,620
2,000
Invisible najua upo busy na Escrow, ila hawa raia wapeleke jukwaa stahiki la wazinzi huku MMU hatuna mijadala hii...
 
Last edited by a moderator:

barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
31,654
2,000
mkuu kufika kileleni sio swala unknown binafsi huwa sisex na demu bila kuhakikisha namfikisha kileleni "that is my moto" dalili ya kwanza utamsikia demu anaanza kutoa miheng'emko ya utamu akiashiria utamu unamzidia kama akinogewa vzr utamsikia akianza kukuita majina mazuri kama baby,oooooh sweethart,ooooo we ndo mwanaume wangu n.k,lakini pia demu anapofika kileleni lazima utajua kwakuwa chini huko panakuwa tapatapa yaani anakuwa amesha kojoa so maji yanzid,kimsingi ukitaka kufaidi penzi hakikisha mwanamke ndo anaanza kufika kileleni kwanza then wewe ndo umfuate sio wewe uanze,kimsingi mwanamke ukimpa penzi vizuri akifika kileleni huwa anachoka na miguu huwa inamuishia nguvu ni jambo la kawaida kbs.

Aisee hapo kwenye red, watakuchuna sana. Ila ni moto yako kama ulivyosema.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom