Lamomy alisema niendelee kushea episodes za maisha yangu, basi leo kuna jambo limenitokea na hapa ndiyo pa kusemea.
Iko hivi, mnajua nimeachana na yule mwanaume bondia, sasa huyo Ex wangu alikua...
Mwanaume wa miaka 37 anahitaji mwanamke daktari wa wanadamu, au mwalimu wa kuoa. Awe na sifa zifuatazo:
1. Daktari wa wanadamu aliyehitimu au aliye na kazi
2. Mwalimu wa msingi au sekondari...
MAPENZI NI POMBE
Kwanza yanaingia kwa utulivu kama kinywaji baridi kwenye koo lenye kiu.
Hakikuleweshi mara moja, unajiona uko sawa. Unacheka, unapiga stori, unajibu kwa utulivu.
Lakini...
Wadau..kwa muda mrefu nimeona kwenye mitandao mbalimbali kuhusu huyu dogo Manaiki Sanga kuweka picha za utupu na madada mbalimbali. Nashangaa sana...ina maana hao wadada wanafanya maksudi...
Unywaji wa maji ray katusaidia, ngozi ina waka baraabara!
Nirufi kwenye mada, je ni sahihi kumnunulia mwanamke wako chupi iwe bikini au chupi
Kwa mwanaume una ionaje hii?
Kwa mwanamke unapo...
Desemba 02 ya kila mwaka ni tarehe ambayo miongoni mwa wengi waliozaliwa siku hiyo, basi mimi kamtu kadoogo kasiko na umuhimu sana nilizaliwa.
Yes namshukuru Mwenyezi Mungu kwa yote, ameniongoza...
1️⃣ Matarajio Makubwa – Watu wengi sasa wana vigezo vingi vya mwenza wanayetaka. Wanaume wanataka wanawake wenye heshima, waelewa, na waaminifu, wakati wanawake wanataka mwanaume aliye stable...
Habari waheshmiwa.
Straight ti the point.
Kuna kinyago wanaume wengi wamekichonga wenyewe na kina watesa pasipo kuelewa. Hiki kinyago kinaitwa " PESA YA MATUNZO" au HUDUMA.
Unakuta mwanamke ata...
Wakuu,
Iwe mwanaume au mwanamke,
Kuna wakati utafika (biological clock) utahitaji kua na mwenza WAko WA maisha, WA kuishi nae na kufanya nae maisha mpaka kifo kiwatenganishe.
Na HUWEZI kuongelea...
Habari kwenye jukwaa hili, natumai mu wazima wa afya. Mimi ni mtu ambaye niko busy na mara nyingi nashinda kwenye Computer kutokana na fani yangu ni IT. Sipati muda mwingi wa kutoka hivyo imekuwa...
Usile tigo ni hatar sanaaa kwako kwa sababu katika uume wako kuna mirija miwili mrija wa mbegu za kiume na mrija wa maaji maji ya kubeba shahawa .
Maji maji ni mengi sanaa shahawa no chache...
Wakuu sielewi hii kitu nimemleta single maza kwangu ila mtoto wake analia Ahsubui mpaka jioni.
Ukimzuia kitu analia , mama yake hataki aguswe Ana miaka 2 sasa.
Ila akimuacha mtoto anakaa kimya...
Kwa kweli unakuta umerudi zako home kutoka kwenye shughuli zako unakuta mwanamke kakuvutia tu domo bila sababu za msingi,lengo lake kubwa ni eti kutafuta attention ya wewe kumbembeleza.
Yani...
Humu kila kukicha watu wanalia na mapenzi, wenzetu huko kunakowafanya mkose raha, kulalamika, kuvurugwa huwa mnapewa nini?
Inawezekana labda sie hatujakutana navyo ndio maana haivitusumbui, labda...
Shalom,
Nimekumbuka hii story ya siku nyingi sana mtoto mmojawapo wa marehemu Advocate na pia Mwalimu Masumbuko Lamwai, alikuwa na demu wake mmoja hivi kitambo sana miaka 21+ hivi nyuma.
Huyu...
Habari wandugu wa MMU leo nimehudhuria send off ya class mate wangu, nipo nimekaa meza moja na mzee mmoja wa kichaga kaja na wanaye wameshuka kwenye Prado Diamond, kaja na mabinti wawili pamoja na...
HAUTAKI KUMWAGA HARAKA? FANYA HIVI.
Anaandika, Robert Heriel
Asome kuanzia mwenye miaka 18.
Nakupa Tips chache tuu.
Mambo ya dakika moja chali utabaki kuyasoma mitandaoni na kuyasikia.
Hata...
08 April 2025
“Ghanaian Pastor in Texas Arrested for Stabbing Transgender Wife to Death After Violent Dispute”
https://m.youtube.com/watch?v=dVxpAxx3Zyg
A deeply unsettling event has shaken the...
Wakuu nina mpango wa kuoa ifikapo mwakani ila naombeni muongozo ni mambo gani ya kuzingatia wewe na mpenzi wako kabla ya kufikia hatua ya kuoana?
Kwa wale mnaofahamu nitashukuru mkinipa mwongozo.