Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za siku wadau. Leo nimeona niwape live hawa mademu wa dotcom bana. Mademu wengine wana lawama sana. Wakisikia Boyfriend wake AMECHEAT atapiga kelele, atamsuta "Umekosa nini Mwanaume...
8 Reactions
103 Replies
16K Views
Dear Aunt, Naomba msaada wako nifanye nini? Mimi ni mke wa mtu, na mume wangu tunapendana sana. Juzi niliondoka kwenda kazini nikamuacha mume wangu ana angalia TV. Sikufika mbali gari ghafla...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna mdogo angu mmoja jana alinifuata baada ya kutoka kanisani. Alikuwa na huzuni kubwa na majuto makubwa kwa kumtazama tu. Akaniambia kaka kuwa uyaone kwangu nishayao na naumia sana. Akafunguka...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Mtu siku zote ukiwa mkweli unakuwa huru. Nilikuwa zangu kwenye daladala natoka town nikakutana na baba mmoja wa makamo. Tukapiga stori tukapeana namba za simu. Tulipofika mwisho wa gari...
2 Reactions
69 Replies
9K Views
Ama kweli mshahara wa dhambi ni mauti! Ni mwaka mmoja sasa umepita tangu nilipoenda Dar kwa lengo la kununua pikipiki ya Kijapan, nikiwa huko tamaa ikawaka, ilikuwa ni mara yangu ya pili kwenda...
1 Reactions
133 Replies
16K Views
Charming and God fearing girl.
0 Reactions
2 Replies
864 Views
Binafsi nimemaliza chuo mwaka 2010, nikapata ajira 2011 katikati kwenye kampuni moja ya madini, nimefanya kazi miaka almost minne nimegundua kwa mishahara hii kutoka ni ngumu sana na inflation...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
miaka yangu 32. natafuta rafiki wa kike (mpenzi) umri so kigezo. awe anapenda kufanya sex nitafute nikupe namba ya cmu tuwasiliane
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana jf kwanza nawapeni salamu. Jamani naomba kwa mtu anaye mhua huyu dada ( alicious) pls naomba anielezee historia yake kwa ufupi na jinsi ya kumpata maana namzimia sana. Natanguliza shukrani
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Jamani wanaJF tumsaidie binti huyu, mawazo yenu ni muhimu sana kwake. 'I have been in my relationship with this man for eight months, and I am in love with him. But, my question or concern is...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
  • Poll Poll
ZIMEBAKI SIKU 3 ZA KUMPATA MSHINDI MWENYE SURA YA MVUTO WA HAPA JF 2014 ATAKAYEJINYAKULIA GARI AINA YA VEROSSA NA MSHINDI WA WA SURA ISIYO NA MVUTO ATAKAYEJINYAKULIA KITITA CHA SH 50M...
13 Reactions
239 Replies
28K Views
Jaman habari zenu. Polen na kusubiri maamuzi ya Ikulu. Najitokeza hapa kuuvaa uhusika watatizo nililoshirikishwa na rafiki yangu x wa gomz. Yeye yupo kwenye utata amuache mkewe au aendelee...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Ndugu wadau kufuatana na sensa iliyopta, idadi ya wanawake imekua kubwa na by nature kila mwanamke ni lazma awe na man for satisfaction. Na wanawake wengi hawawezi kutongoza men because of...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Ni majira ya saa 10 jioni nikitoka zangu Morogoro kwenye usaili narudi zangu Dar ninapoishi.. Kutokana na ugumu wa maisha, nimebakiwa na shilingi 3000 tu mfukoni hapo nikiwaza chakula cha jioni...
5 Reactions
38 Replies
5K Views
You are dating a married man with kids, you are the reason his wife sleeps late at night, waiting for him to come home late, you are the reason his wife cries every night, you are the reason he...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari ya usiku wana MMU Kama mwanajamii natambua na kusema kuwa kuna shida kubwa sana inayopelekea matatizo mengi ya afya ya uzazi na hasa kwa jinsi -ke. Tatizo ya hili ni nini hasa na kama...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Anajua kabisa yule alikuwa shemeji, tena hata kesi ndogondogo zilizotuhusu, niliziweka wazi kwake kwa ushauri na msaada wa mawazo. Hata tuliposhindwana na huyu binti nilimshirikisha na kwakuwa...
0 Reactions
105 Replies
8K Views
Habari zenu wana bodi. Ni matumaini yangu mnaendelea vyema na wikend na mchakato wa uchaguzi. Lengo lakuanzisha thread ni tabia ambayo kiukweli naona inaota mizizi kadri muda unavyoenda...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Laputopu nimeshika, na dodosa wa porini, Sina budi kuandika, niliseme la rohoni, Mwenzenu nafadhaika, namngoja wa ubani, U wapi ewe tabibu, fanya hima kunitibu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Inakuwaje unapokuwa na mume mjeuri ambaye hataki kutoa matumizi ndani ya nyumba kisa tu sababu umemzoeza kutomwomba pesa mara kwa mara sasa anadhani you can manage yourself all household expenses...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…