Afya ya uzazi

Afya ya uzazi

Payer

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
824
Reaction score
189
Habari ya usiku wana MMU

Kama mwanajamii natambua na kusema kuwa kuna shida kubwa sana inayopelekea matatizo mengi ya afya ya uzazi na hasa kwa jinsi -ke.

Tatizo ya hili ni nini hasa na kama jamii tunawasaidiaje watu wa kundi hili?

Mf: si ajabu siku hizi mdada mjamzito akifua nguo beseni mbili ikapelekea miscarriage.

Na ni ajabu na adimu sana kusikia mdada kajifungua kwa njia ya kawaida ( bila kisu-operation ).

Nimeonesha machache tuu yaliyo common kwa wengi.

Karibuni tuchangie jinsi ya kuwasaidia hawa.
 
wanawake wetu wa sasa hivi majanga! kisu hakiwezi kuwaepaka. unakuta mwanamke mimba ikiingia tu basi hapo mpaka ikifkika miezi 9 hataki chakula kingine yani hapo ni mwendo wa chipsi zege! sasa huyu nguvu ya kuzaa kawaida ataitoa wapi?? halafu siku hizi wengi wao wanaendekeza sana mambo ya kizanzibari ndio maana wanashindwa kujifungua kwa njia ya kawaida. mkuu wape salam zao
 
Hayo mambo ya kizanzibari ndo yepi hayo?
 
Siku hizi wanadeka mno hata kazi ndogo ndogo hawatak kufanya toka mimba inavyoingia, mazoez hamna hata ya kutembea umbal mrefu hawawezi yaani siku hizi ujauzito imekuwa ugonjwa, hata vyakula wanavyokula wengi wanakula chips mayai watapataje nguvu sasa
 
wanawake wetu wa sasa hivi majanga! kisu hakiwezi kuwaepaka. unakuta mwanamke mimba ikiingia tu basi hapo mpaka ikifkika miezi 9 hataki chakula kingine yani hapo ni mwendo wa chipsi zege! sasa huyu nguvu ya kuzaa kawaida ataitoa wapi?? halafu siku hizi wengi wao wanaendekeza sana mambo ya kizanzibari ndio maana wanashindwa kujifungua kwa njia ya kawaida. mkuu wape salam zao

Hapa nakusoma mkuu wangu weye
 
DAUDI, unaamin kuwa chakula na mazoezi ndio vya kuzingatiwa zaidi?
 
Last edited by a moderator:
DAUDI, unaamin kuwa chakula na mazoezi ndio vya kuzingatiwa zaidi?
Mazoez mkuu yanaumuhim sana kwa mwanamke mjamzito mwili unakuwa flexible pamoja na ujauzito anakuwa na uwezo wa kufanya shughuli za hapa na pale mfano mzuri wale kina mama machinga wa matunda na mihogo sidhan kama afya zao zinateteleka wale kipind cha ujauzito na wakat wa kujifungua maana kutembea tu ni zoezi tosha husaidia kukaza misuli, hayo ni kwa mtizamo wangu subiri wengne uwasikie
 
Last edited by a moderator:
hata kwa mwanamke afanyaye mazoezi hasa ya acrobatics kujifungua kwake ni kwa urahisi mno with less labour pain
 
inabd tuwe tayari ili kuepuka labor complications. km unamuona mkeo au gf wako anajilegeza wkt wa ujauzito ni hatari xana inabd uwe unamfanyisha mazoezi bt cyo ya kulift vitu vzito. acrobatics ndo yenyewe kwa hii matter
 
ukiwa na gf au mke mzoeshe mazoez hata kukimbizana au kuruka tu kamba pamoja yy ataona ni part of romance kumbe anajisaidia mwnyw na itakapotokea ni mjamzito hatoona tabu kufanya mazoezi cuz kishayazoea.
 
mpaka sasa nashindwa kusema kitu moja kwa moja maana mimba tu za siku hizi zimekuwa na majanga.
Siyo kuwa mtu anafanya kusudi ila ndio nafsi yake inataka.
Mazoezi yanategemea na afya ya mama mwenyewe.
Mwengine anakatazwa hata kutembea sasa ukimpa mazoezi si ndio unaleta majanga?
Nikiona mdada yuko mjamzito namuombea Mungu ajifungue salama tu iwe kawaida au kwa kisu ilimradi iwe salama baaasi.
 
Back
Top Bottom