Mr Eggo
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 2,027
- 1,052
Habari zenu wana bodi.
Ni matumaini yangu mnaendelea vyema na wikend na mchakato wa uchaguzi.
Lengo lakuanzisha thread ni tabia ambayo kiukweli naona inaota mizizi kadri muda unavyoenda.
Nakumbuka nimekua na matukio kadhaa ya mahusiano ya nyuma ambapo yamenipelekea kutokumuamini mwanamke ni mwaka sasa unakaribia sijapona ugonjwa wa kutoamin na hivyo kupelekea kua na mahusiano mafupi mafupi meengi.
Few weeks back nimeingia kwenye mahusiano na binti ambae amekua a friend kwa muda kidgo...ni mzuri wa umbo na kwa kadri ya vigezo vyangu namuona anafaa kua ata mke in future.
Tatizo ni lile lile napata shida kumuamini ukizingatia tupo mikoa tofauti.
Kwa wale wenye uzoefu na tabia izo (washauri) au wahanga wa ilo tafadhali ushauri wenu muhimu.