Kwa anaye mjua alicious dada aliye umba na juliana - mpita njia

Muk

JF-Expert Member
Sep 4, 2012
550
195
Wana jf kwanza nawapeni salamu.
Jamani naomba kwa mtu anaye mhua huyu dada ( alicious) pls naomba anielezee historia yake kwa ufupi na jinsi ya kumpata maana namzimia sana. Natanguliza shukrani
 

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
36,247
2,000
Hakikisha una mkaja wa babu na wa bibi na mwambie mshenga aje na POSA YA BOLINGO.
 

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
36,247
2,000
Wana jf kwanza nawapeni salamu.
Jamani naomba kwa mtu anaye mhua huyu dada ( alicious) pls naomba anielezee historia yake kwa ufupi na jinsi ya kumpata maana namzimia sana. Natanguliza shukrani

Kwa kuanza alianza na single ambayo
alimshirikishwa Juliana wa Uganda inaitwa ‘mpita
njia’ ambayo iliwekwa Youtube January 2012.

Wanasema watu kutoka Congo wanaimba sana…
ni kweli wanaimba… na huyu pia anatokea
hukohuko Congo.
Alicious Theluji ni mzaliwa wa Kivu huko Congo
DRC lakini amekulia Nairobi Kenya na sasa ni
mwimbaji mkali ambae ana uwezo wa kuimba
kwa lugha nne ambazo ni Kiswahili, Kiingereza,
Kifaransa na Lingala..Mtafute Juliana akupe Contacts Zake.
 

The Don

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
3,497
2,000
Acha kuingia anga za watu aisee,utajangolewa kucha bila ganzi bure,
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom