Jaman habari zenu.
Polen na kusubiri maamuzi ya Ikulu.
Najitokeza hapa kuuvaa uhusika watatizo nililoshirikishwa na rafiki yangu x wa gomz. Yeye yupo kwenye utata amuache mkewe au aendelee naye kisa mama yake mama yake;
Malalamiko ya mzazi huyo kwa mkwe wake ni; roho mbaya(uchoyo), amemloga mtoto wake, uvivu ni malaya yaani kabla hajamuoa, n.k. Sasa jamaa kamuamrisha mkewe aombe msamaha kaomba lakini mamayake anaonekana kuukubali kishingo upande, kwani anachotaka nimuache tu anawaambia watu wengine sio jamaa.
Kwa kifupi jamaa kamhamisha mke wake lakini mimi ameahidi hataenda kuwaona, yaani in short ni full migogoro, kanitisha kweli sioni raha ya ndoa kabisa, hivi jamani recovery ya hili ikoje?