Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimekuwa na kukuta huu utamaduni upo,umeniumiza sana kichwa mpaka leo nimekuwa mtu mzima nina wife ndani na mi naendeleza utamaduni huu wa kupeleka vitu vidogo vidogo ukweni. Wakuu...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
1. Usitufungie kitambaa cha nylon kichwan kwako,brainless !. Kwanza kilemba ni ubibi. 2. Shidiria ni ya kushika matiti sio tumbo. Vaa shidiria inayo kufit na isiwe ya purple, . 3. Blouse za...
5 Reactions
183 Replies
20K Views
Mm ni kijana mwenye umu wa miaka 29 mwajiriwa katika sekta ya umma natafuta mwenza wa kuishi nae kuanzia miaka 15-35 aliyetayari anipim sibagui dini wala kabira anaomba aliyesirious tuwasiliane
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Kwa Mwanamume yoyote asie wajua vizuri kina mama, Huishia kufilisika na kujinyonga ua kuua watoto wake, au Ndugu zake au watu wasio husika. Kwanza kabisa, wanawake sio watu wa ahadi in the name...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Wadada waliobahatika kuwa na kachunus i(kidoti) usoni huwa mnanivutia sana, sina hakika sana but nahisi Jokate naye amebahatika kuwa nayo! Kama upo huku unipm please.
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Ndugu zangu,naomba niwasalimu kwa mara yamwanzo,Mimi nikijana wa kitanganyika lakini mwenye asili ya nchi ya Rwanda,maeneo ya Kimisagaraa,na nimtumishi katika serikali ya Tanganyika Idara ya...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habarini ndugu zangu wanaJamiiforums. Kuna msichana mmoja kaharibu siku yangu Leo baada ya kumtumia text kuwa nampenda, huyu msichana ni mzuri ile mbaya na nilifanikiwa kuzoeana nae sana na...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
kama wewe ni kijana bado unasoma au unataka kuyapanga vzr maisha yako kwanza. Na onaona mapenzi kimekuwa kikwanzo kikubwa katika maisha yako au pengine unajiona unateswa, unanyanyaswa hadi...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wasichana wanaopenda kuolewa na watu wazima wanaowadi umri kwa miaka mpaka 20 na kuendelea wajiandae kumalizia maisha yao wakiwa wajane. Nisieleweke vibaya hapa japo yote yanawezekana. Lakini...
6 Reactions
86 Replies
11K Views
Hi guys..I'm mussa wa dsm,24, najitokeza kutafta rafiki wa kike(girlfriend) kutoka dar ambaye atakua serious na mahusiano, mwenye kujiheshimu na kujua vyema maana ya mahusiano, mwenye mapenzi ya...
0 Reactions
0 Replies
940 Views
Habari wanajamvi. Naomba kueleweshwa kuwa ni kwanini wanawake wengi waliojaaliwa na mwenyezi Mungu uzuri wa tabia na maumbo mazuri kwanini hawaolewi mapema wanakaa mda mrefu. Mimi hapa nilipo...
0 Reactions
46 Replies
7K Views
Habari wana mmu .Mwenzenu napitia kamtihani Fulani hapa.NINAPOSEMA KAMTIHANI NAMAANA MAJARIBU/KIPIMO .MM NINAMPENZIWA WANGU MOJA JINA KAPUNI NA NAJITAHIDI SANA KUMVUMILIA NA PIA NAMJALI SANA...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Call 0682116396 kwa maelezo zaidi na picha zao tutakutumia ujionee mwenyewe
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Habari za sahizi wana jamvi? Bilashaka natumaini wewe,yule,wale wote ni wazima! Pia hata kwa upande wangu nashukuru MUNGU sababu niko na afya tele! Kwa mara ya kwanza nikiwa kama mgeni ktk hili...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwa mwanamke anayetafuta mume tafadhari ni pm tuzungumze privately,mimi kwa kifupi ni mwajiriwa, na hold degree 1. uwe na umri kati 25-35 mengine nitakwambia ukija pm.Its serious no jokes pls
2 Reactions
0 Replies
890 Views
Habari. Natumaini krismasi ilikua njema ingawa kwangu haikuja njema kihivyo. Kuna mambo mawili yalipelekea krismasi yangu kutofana sana,moja ni kwamba jana niliingia choo cha kike,nikaenda...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Habari wana janmvi natumaini hatujambo, poleni kwa mnaojisikia vibaya na wale wenzangu ambao sikukuu imeawaacha vibaya! Lakini wakati huo sisi tunapendeza, tunakula vizuri na kuenjoy huku...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Kwa wale mabinti waliokuwa na matumaini ya kuolewa mwaka 2014 ndio basi tena mwaka umeshaisha na siku chache hizi zilizosalia matumaini ya kumpata mume ni asilimia 0.009, hivyo ni afadhari...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Wanaume wengi hawako smart kutambua kwamba jinsi unavyo mwezesha mwanamke wako aende juu (Ki elimu, fedha na mapenzi) inamfanya asiwe available kwa wanaume wengine. Ila ukimshusha na kumvunja moyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Ndgu wa JF Kwanza Nawatakia Her Ya Krismas Natumai Kwako Imekuendea vzur Kma Ndio Bas Ni Jambo La Kumshkur mungu Kama Kawaida Sikukuu N Siku Ya Kufarah Ivo Bas Nikaona Sio Mbaya Siku Hii...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Back
Top Bottom