Chunusi au kidoti.........?.........
Mijitu mingine bwana. Wakupm ili iweje. Kwani wewe ni mganga wa kienyeji wa kuondoa chunusi?Wadada waliobahatika kuwa na kachunus i(kidoti) usoni huwa mnanivutia sana, sina hakika sana but nahisi Jokate naye amebahatika kuwa nayo! Kama upo huku unipm please!
Kwa sifa hizi wadada wajiamini.Watapata wenza wa kuwafaa tu.
Mtoa mada hajui kiswahili...anamaanisha kidoti
Exactly, i mean Kidoti, ngoja nibadilishe heading!
Kidoti ndiyo K ama?
mbona karibia wadada wote mnayo?
Kidoti ndiyo K ama?
mbona karibia wadada wote mnayo?
Wadada waliobahatika kuwa na kachunus i(kidoti) usoni huwa mnanivutia sana, sina hakika sana but nahisi Jokate naye amebahatika kuwa nayo! Kama upo huku unipm please.