kaululeyuda
Member
- Dec 21, 2014
- 9
- 1
Ndugu zangu,naomba niwasalimu kwa mara yamwanzo,Mimi nikijana wa kitanganyika lakini mwenye asili ya nchi ya Rwanda,maeneo ya Kimisagaraa,na nimtumishi katika serikali ya Tanganyika Idara ya Mifugo na Kilimo nitaendelea,