Kumbe hili swali gumu

Kumbe hili swali gumu

hooligan01

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
664
Reaction score
540
Habarini ndugu zangu wanaJamiiforums.

Kuna msichana mmoja kaharibu siku yangu Leo baada ya kumtumia text kuwa nampenda, huyu msichana ni mzuri ile mbaya na nilifanikiwa kuzoeana nae sana na nilifanya vitu kibao nimwonyeshe nampenda ka kumpa zawadi Na mara nyingi kuchatinae ila leo bada ya kuingizia iyo mada akanijibu "am an older dan you"

Nikaona ilo swali rahisi tu yani nkajibu "age does not matter"..apo ndo ikaanza mada nyingine yani anauliza maswali kama anahisi nataka nimchezee tu na hili swali limenifanya nimute kwanza."kipi unachotaka unidanganye nisichojua Mimi?

Haijawai tokea nimekosa swaga kama Leo na huyo msichana kanizidi miaka miwili tu.

Msaada jamani apo au ushauri kwangu.

Nitawashukuru
 
habarini ndugu zangu wanajf.kuna msichana mmoja kaharibu siku yangu Leo baada ya kumtumia text kuwa nampenda..uyu msichana ni mzuri ile mbaya na nilifanikiwa kuzoeananae sana na nilifanya vitu kibao nimwonyeshe nampenda ka kumpa zawadi Na mara nyingi kuchatinae ila leo bada ya kuingizia iyo mada akanijibu "am an older dan you"..aaah nkaona ilo swali rahisi tu yani nkajibu "age does not matter"..apo ndo ikaanza mada nyingine yani anauliza maswali kama anahisi nataka nimchezee tu na hili swali limenifanya nimute kwanza.."kipi unachotaka unidanganye nisichojua Mimi??haijawai tokea nimekosa swaga kama Leo...na uyo msichana kanizidi miaka miwili tu....msaada jamani apo au ushauri kwangu. ...ntawashukuru

inamaana yeye anaingia form 4 na wewe form 2?

simple mnunulie kitabu cha hesabu cha nyambari nyangwine.
lazma aone kuwa uko serious na unapenda shule.
akiendelea kukataa msemelee kwa mwalimu, coz ushahidi utakuwa nao.
 
Mbavu sina aiseee
 
ha ha ha ha ha ha
utafiti kumbe miss neddy kakuzidi miaka njoo huku id yako nyingine nimeaipata
 
Last edited by a moderator:
Nenda kwa Dakta nyaunyau akupe dawa ya mvuto wa mapenzi.....
 
"age does not matter". Mbona ulimjibu vizuri sana tafuta point sasa za kutetea hoja yako na ukumbuke hiyo ni sanaa ya kushawishi kama huna ako kakipaji nicheki pm unipe namba zake nijilipue hooligan01
 
Last edited by a moderator:
"age does not matter". Mbona ulimjibu vizuri sana tafuta point sasa za kutetea hoja yako na ukumbuke hiyo ni sanaa ya kushawishi kama huna ako kakipaji nicheki pm unipe namba zake nijilipue hooligan01

Na uparoko wote huo
 
Last edited by a moderator:
inamaana yeye anaingia form 4 na wewe form 2?

simple mnunulie kitabu cha hesabu cha nyambari nyangwine.
lazma aone kuwa uko serious na unapenda shule.
akiendelea kukataa msemelee kwa mwalimu, coz ushahidi utakuwa nao.

we jamaa una miaka mingapi?? mana naweza nikakujudge kumbe sio kosa lako....
mi nina shida kweli
 
Last edited by a moderator:
"age does not matter". Mbona ulimjibu vizuri sana tafuta point sasa za kutetea hoja yako na ukumbuke hiyo ni sanaa ya kushawishi kama huna ako kakipaji nicheki pm unipe namba zake nijilipue hooligan01

mademu wengine hawaelewi ila nataka nimwombe gemu aprove ka age inamata
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom