Tayo zeboss
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 467
- 196
Habari za sahizi wana jamvi?
Bilashaka natumaini wewe,yule,wale wote ni wazima!
Pia hata kwa upande wangu nashukuru MUNGU sababu niko na afya tele!
Kwa mara ya kwanza nikiwa kama mgeni ktk hili jukwaa nimeamua kuja na huu uzi ambao uko na challenges tofauti na jinsi mlivyozoea, dhumuni langu lipo hapo chini.! so ukiwa mgeni au mwenyeji milango iko wazi unakaribishwa sana kunishika mkono na kunikaribisha mgeni.
Kutokana na hali ya kimaisha jinsi ilivyo mambo yamekuwa magumu sana! HAJIRA za cku hizi haziangalii elimu,sifa ya muombaji wala veti. Ispokuwa kinachoangaliwa ni "undugu na ujamaa au pesa mbele! VIBARUA masaa mengi malipo kidogo! MAHITAJI MUHIMU yamekuwa juu sana kuzidi mishahara! SIASA ndo kabisaaa wala sisemi, pia ukija ktk swala zima la MUSIC ambalo linaaminiwa kama kitu special cha kuwafariji watu walio poteza matumaini hasa ktk maisha unakuta wasanii wa leo wana deal na kuimba mapenzi tu! Alafu Wana sahau kama kunavitu vingi vya msingi na vya busara hasa ktk jamii sababu cyo watu wote wenye raha ktk maisha na cyo watu wote wanafikiria mapenzi hasa kutokana na hali ya kimaisha jinsi ilivyo! % kubwa ya watu wanahitaji faraja sababu Kuna watu wameshakata tamaa hawana tena matumaini sababu kila wanachofanya wanahisi wanakosea! BONGO MOVIES mapenzi na ushirina! MAGAZETI kila cku mwema na diamond.
MITANDAO YA KIJAMII mapenzi na skendo za wasanii.! Je,tumaini langu liko wapi?
DHUMUNI LANGU
-------------------------
Dhumuni langu la kuandika haya yote nikwamba=> "naitaji rafiki wa kweli mkarimu,mcheshi/mchangamfu kama mm na mwenye challenge za kimaisha! Pia niyule anaye fikiria future kila kunapokucha na pia anaye jiheshimu na cyo yule anayesema tu kuhusu ndoto zake bali niyule anaye zionyesha ili awe kama mfano wa kuigwa! sababu napenda cku 1 niwe mtu flani ktk maisha mwenye furaha,amani na pia mwenye uhuru wa fikra istoshe mwenye uwadhifa wangu na mwenye maendeleo! Sababu wahenga walisema jifunze kwa waliyofanikiwa! So ukiwa kama kijana mwenzangu, baba/mama/babu/bibi au dada angu unakaribishwa sana ku-share ideals na mm kijana mwenzako/mwanao, hasa ushauri,mbinu za mafanikio na story za hapa na pale! Sababu kwa pa1 tunaweza fikia lengo! Kwa aliye interested namkaribisha kwa mikono miwili.
Naishi => DAR ES SALAAM
Simu => +255 713 943 234
Pia unaweza nichek whatsapp kwa no. hiyo hiyo. KARIBU SANA!
Natanguliza shukrani za dhati kwenu.