Natafuta mtumba wa kumuowa

Natafuta mtumba wa kumuowa

mjasiliamali14

Senior Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
147
Reaction score
21
Mm ni kijana mwenye umu wa miaka 29 mwajiriwa katika sekta ya umma natafuta mwenza wa kuishi nae kuanzia miaka 15-35 aliyetayari anipim sibagui dini wala kabira anaomba aliyesirious tuwasiliane
 
Unatafuta MTUMBA wa kuoa, umri 15-35? Haya bwana kila lakheri
 
Aiseee....unataka mtumba tu? Mpya hutaki?
 
Hivi mwanamke mtumba ni yule asie na bikra? Ila ndg Mjasiliamali14 utaozea jela kwa kutaka kuoa msichana wa miaka15...take care
 
Mtumba???????

mpatie mtumba wako madam..

Yaani used..........kwa nini hujui lakini......?

Wewe ni mtumba wa kike au wa kiume...

mtumba wakuoa! nenda karume teh!teh!

Hivi mwanamke mtumba ni yule asie na bikra? Ila ndg Mjasiliamali14 utaozea jela kwa kutaka kuoa msichana wa miaka15...take care

Ni typing bandugu nina hakika hakuwa na maana hiyo, natumai mods watafanya the needful

BTW kama hao anaonana nao kila siku kazini mtaani na kwenye mishemishe nyingine ameshindwa kuopoa wa JF atawaweza?????
 
Mm ni kijana mwenye umu wa miaka 29 mwajiriwa katika sekta ya umma natafuta mwenza wa kuishi nae kuanzia miaka 15-35 aliyetayari anipim sibagui dini wala kabira anaomba aliyesirious tuwasiliane

=umri
=kabila
mtumba=mchumba

Lakini mkuu, unatafuta mchumba wa miaka 15?? huyu si yuko form one jamani!!
 
Ni typing bandugu nina hakika hakuwa na maana hiyo, natumai mods watafanya the needful

BTW kama hao anaonana nao kila siku kazini mtaani na kwenye mishemishe nyingine ameshindwa kuopoa wa JF atawaweza?????

Inaweza kuwa typing error kweli mkuu ila ni sahihi kutangaza unaoa mtoto wa miaka 15? Huyu ni babu seya huyu!
 
Hapo kaharibu na sidhani kama upstairs kuko vizuri unajua hapa hatufahamiani unaweza kutumia nguvu nyingi kuchangia post fulani kumbe mwenyewe ni chizi ndio katoka kupata nafuu
 
Dah hapo umesema kweli mkuu, mwisho wa siku wote tunaochangia tutaonekana machizi pia.
 
Back
Top Bottom