kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,512
- 4,377
Kuna mzazi mwenzangu tumezaa nae watoto wawili,juzi juzi hapa tulizinguana(nilimpiga) akabeba vitu vyake pamoja na watoto akarudi kwao,amekaa huko weeee me sikuhangaika nae kumtafuta,baadae nikaanzisha mahusiano na mwanamke mwingine hapa mtaani kwetu,sasa recently yule mzazi mwenzangu ananisumbua anataka kurudi nyumbani.huku napo tayari nina chombo kingine.
Wakuu,niko dilemma,nifanyaje?
Wakuu,niko dilemma,nifanyaje?