Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Millardayo Wagonjwa wa saratani kutokana na kujamiana kwa njia ya mdomo wanaongezeka kutoka 500-600 Oceanroad Haya sasaa wale mafundi wa kudeki bahari mpoo hapo??Unaonyesha machejo kwa...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Juzi wakati natoka nyumbani kwenda katikati ya jiji nilikutana na msichana mmoja ndani ya daladala. Huyu Msichana Alikuwa mzuri kiasi kwamba alivyokuja kukaa kwa Seat yangu moyo ulianza kunienda...
1 Reactions
70 Replies
6K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 naishi jijini mwanza na ni mwajiriwa serikalini.Natafuta mwanamke mwenye matako makubwa awe mpenzi wangu na baadaye tuoane.Awe mweusi na mwenye umri...
0 Reactions
59 Replies
32K Views
Hello! Natumaini hamjambo. Babu Asprin na wengine wote habari za 2015? Kuna chochote kipya humu wakuu? Vipi fiksi na mikikimikiki ya humu? Kuna raia 1 kaandika wanaume wa Dar tunaogopa...
1 Reactions
3 Replies
971 Views
Muungano oyeeee! Nawaza faida tuu hapa, tukianza na hii inayoleta wikiend ndefuu! Full kujmwaga na uwapendao from this Furahday 2 Mandei. Wah reserveishen nafas ni chache....! Happy Mapinduz day...
0 Reactions
3 Replies
974 Views
Nilikwenda Nairobi kwa safari binafsi. Nilikaa kwenye nyumba ya wageni ya gharama za kawaida kwa uwezo wangu. Mwenye hoteli ni Mmeru na alikuwa mchangamfu sana baada ya kujua mimi ni Mtanzania...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Za mwaka mpya?Niko na shida moja inasumbua mimi ni mfanyakazi ila sasa baada ya kupata kazi nahitaji mwenza tatizo ni kwamba sehemu nilipo ni mgeni kabisa na wanawake wapo ila siwajui...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwa Triple D, changamoto kubwa kwake ni kununua nguo za ndani ambazo zinamtosha Mwanamume mmoja mwenye uume mbili, amezungumza na BBC kuhusu anavyoiishi na hali yake hio. Anajulikana tu kama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kabla ya kuoa niliwahi kuwa kwenye mahusiano na binti mmoja kwa takribani miaka kama minnne wote tukiwa wanafunzi pale UDSM tukilala chumba kimoja na kuamka pamoja lakini cha ajabu mpaka...
2 Reactions
114 Replies
16K Views
Hebu toeni ushauri waungwana. Inakuwaje mke wa bossi wako anapokuzimia, Kila mara napigiwa simu hata usiku wa manane mie najua ni mtu na stress zake anataka mtu wa kuongea nae, baada ya majina na...
2 Reactions
47 Replies
9K Views
Jamani Natumai Nyote Humu JF Hamjambo na Tunaliendeleza Jalamba. Naombeni Msaada Wenu Hivi Ni Kwanini GENTAMYCINE Mimi Huwa Natokea KUPENDWA Mno na Sana Na Wadada au Mademu au Mabinti au...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Wakuu kama heading inavyojieleza hapo juu,ni kweli nimefurahi sana na wala sijasikitika hata kidogo Iko hivi,ther is this guy,kwa nje he's very humble and smart but I don know what got in to...
2 Reactions
95 Replies
8K Views
Wadau Mwanamke ambaye kila mara tunaenda sehemu za starehe anaweza kuwa Mke mwema? mwenye uzoefu na haya mambo jamani.
0 Reactions
61 Replies
7K Views
Leo nije kwakina kaka. Kwakweli sikufahamu kuwa hadi miaka ya dot.com bado watu wanakataa ujauzito na watoto, really? Wakati unafanya hilo tendo na huyo dada hukujua kuwa matokeo yanaweza kuwa...
6 Reactions
172 Replies
15K Views
Kuna salon moja nimempeleka rafiki yangu jana kusafisha kucha za mikono na miguu si mnajua tena mambo ya utanashati wa kucha. Basi akasafishwa za mikono vzuri, ikafika bwana zamu ya miguu. Kucha...
1 Reactions
41 Replies
50K Views
Habari za asubuhi wana MMU Kwa kifupi nina wapenzi wanne kati ya hao wanne ninampenda kupita wote ni mmoja tu ambaye nilimtongoza mwenyewe sasa hao watatu wengine wamenitongoza wenyewe kwakuwa...
0 Reactions
71 Replies
7K Views
Am 24 years now sijawahi sex na plan zangu nisifanye hii kitu mpaka nitakapooa. Kiukwel naona kama naelekea kushindwa kwa sababu hisia za kufanya hii kitu zinaongezeka kila baada ya siku...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari! naitwa Paul natafuta Mchumba wa Kike kwani nahitaji kuoa soon,Elimu yangu Diploma of Education,umri wangu 29,maji ya kunde pia nipo smart,nafanya Kazi Dar,sio Mrefu wala Mfupi,vigezo awe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Raia mmoja kutoka mkoani Singida, Tanzania amepigwa mshale wa sumu baada ya kukutwa na mke wa rafiki yake wakifanya mapenzi vichakani. Mashuhuda wa tukio hilo wamesema kuwa mtu huyu alishazoea...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Serious natafuta marafiki wasio kua kwenye mahusiano yaani single tubadilishana mawazo namna ya kupata wenza. Iwe mwanaume au mwanamke bora karibu PM tuchat. Kila mmoja atuambie ilikua kwa sasa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…