Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Even after passing the Anti-p0nography law in Uganda, you still see Ugandan girls dressing skimpily. As I always say, Ugandan girls are ratchet by nature. If you're into clubs, you have...
0 Reactions
39 Replies
15K Views
Heri ya Mwaka mpya wana Jamii Forums. Ni Busara kama tutaitumia hii fursa ya kuuona mwaka 2015 ni vyema na kua na msaada kwa watu. Unaweza kuwa msaada kwa kuongea kwa Hekima au kukaa kimya. Sio...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hii ni zaidi ya karaha kwa wanawake wembamba huwa wanalia sana wakati wa tendo la ndoa hadi kuwa kero kwa majirani hasa nyumba zetu za kupanga jee huu ni mzuka au sifa?
0 Reactions
95 Replies
43K Views
Awe na kaz yake!Umr kuanzia miaka 18 na kuendelea.nko kilimanjaro!nchek whatsap 0713578805.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
nilikuwa nasoma kitabu kinaitwa jukwaa la sheria cha Rev. Justine Kaleb. Kumchukulia hatua za kisheria mtu aliyetoa ahadi ya kukuoa au kuolewa na wewe na baadaye kuvunja ahadi hiyo kwa sababu...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Hi people, Missing you alot, Likizo imeisha nimerudi Mjengoni tena kuzisaka za Pasaka. Kama kichwa cha Uzi kisemavyo natangaza nia ya kuwa Mpenzi wa ushiboy kwa Mwaka 2015. Refer Safari yangu ya...
3 Reactions
128 Replies
7K Views
Wewe mwanaume unayesoma hapa, jiulize; huwa unadumu na mwenzi wako? Unaachwa au kukimbiwa baada ya muda mfupi? Kama jibu ni ndiyo, hapa utapata tiba. Sikia nikuambie, wapo wengi ambao kila...
1 Reactions
33 Replies
6K Views
Wanajamvi nimesema kwa mwenye elimu ya mapenzi nikimaanisha: Kuna tabia ya watu baadhi Rika tofauti jinsia tofauti wana mtazamo ambao Mimi binafsi nashindwa kuelewa nikweli mwanaume mwenye...
0 Reactions
40 Replies
8K Views
Anyone who is serious,determined one Tanzania lady aged 22 inneed of partner!!!! just PM and i wiil replyyy
1 Reactions
2 Replies
871 Views
Ningependa kupata maoni yenu wana jamvi juu ya suala la mwanaume kufamfanyia mkewe wa ndoa ngono za kwenye mikanda ya video tunayoiona kwenye Tv zetu au laptop zetu au simu au pia social media...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama mbili zilizopita amekuwa akinilazimisha nifanye mapenzi kila siku hapa...
21 Reactions
387 Replies
63K Views
Habari zenu wana Mmu? Natumai mu wazima sasa twende kwenye stori yenyewe. Jamaa yangu mmoja mi namuita bro kwa maana amenizidi umri na maarifa na kipato kwa mbali.Anasema hana hamu tena ya kuoa...
2 Reactions
41 Replies
6K Views
Habari ya weekend. Unakuwa na mpenzi/mke/Mume wako, ambaye ni mtu wa visasi tu. Yaani akisikia tetesi kwamba umechepuka, yeye anaenda kulala uwanja wa Fisi, akiona umerudi Saa mbili usiku, basi...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
  • Closed
Hivi wakina Dada kwanini mna Tabia mbaya sana mkiulizwa mnasema ni Mabikra ila mnapaka Malimao kwenye sehemu za Siri si mseme tu ukweli kwanini mfanye hivi.
1 Reactions
85 Replies
13K Views
Kwa wadau waliopo makini mnakumbuka niliposti kuwa natafuta Mchumba wiki chache zilizopita yaliyonitokea nimepata Msichana mrembo amejaliwa akani PM tukaonana, ila Msichana anakunywa sana Pombe...
1 Reactions
69 Replies
7K Views
Dear Members happy new year! Kwa mara nyingine napenda kuleta kwenu ombi langu la kutafuta mwanamke aliye-serious tu kuolewa. Napenda awe Mwalimu au Nurse lakini si lazima. Mimi nina...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari ya weekend. Nina thamini sana marafiki,nina amini katika marafiki kwakweli. Kama unahitaji rafiki wa kuongea nae au kusaidiana katika mawazo,mambo ya kuhusu maisha,mambo ya...
0 Reactions
1 Replies
967 Views
Ni demu wangu wa muda mrefu, sasa imefikia mahari tunahitaji kufunga ndoa. Anasema kwa mila zao (mhindi) wao mwanamke ndio anatakiwa kutoa mahari kwa mwanaume. Binafsi naona kama hizo ni dharau...
0 Reactions
86 Replies
9K Views
Kuna sababu nyingi zimetolewa kwa vijana kushindwa Kuoa na Kuolewa, nyingi kati ya hizo ni za kiuchumi na kujifanya wanajipanga kimaisha. Ukweli ni kwamba watu wengi hawaingii kwenye Ndoa kwa...
4 Reactions
56 Replies
9K Views
Siku zinavyozidi kusonga mbele hapa jijini naona asilimia zaidi ya 75 ni wafupi, sijaelewa ni nini kimetokea ila ukweli ni kwamba wanawake warefu wamekuwa wachache sana Dar es Salaam. Hata ukija...
5 Reactions
130 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…