INNOMATHEU
Member
- Jan 9, 2015
- 60
- 20
NI KWELI KWAMBA WANAWAKE HAWALIZIKI!
Niliishi na mke wangu tukiwa na kipato cha chini vizuri tu!
Baadae alionekana kutokulizishwa na maisha tuliyokuwa nayo. Nilipambana mpaka nikapata kazi na kumwanzia biashara mke wangu. Kipato chetu kiliongezeka na alilizika na hali tuliyoifikia.
Ndani ya miezi 16 amebadilika kabisa, kauli anazozitoa ninanishangaza, mara utasikia "biashara hainisaidii chochote", mara "maisha haya yamenichosha!!" Wakati huohuo yeye ni shaidi juu ya jinsi gani ninavyopambana na kuteseka kwa ajili yake na wanangu, lakini haoni huruma na kuthamini jitihada zangu, AISEE!, ninapata jaziba sana na wakati mwingine ninawaza hata kumwanzishia mfumo dume (kipigo na lazima), ambapo sijawahi kulifikiria!.
Ajabu, awamu hii ndio karaha imeongezeka! hakuna amani, nimekuwa mtu wa wasiwasi, labda kuna watu wanamdanganya, ama anajilinganisha nao, KWA KWELI NINA WAKATI MGUMU SANA!
Ndugu zangu, nisaidieni kimawazo.