gwahe
Senior Member
- Nov 24, 2014
- 147
- 84
Jamaa mmoja, alichungulia Pochi hang bag ya mke wake!! Akakutana na bank statement yake ina million 45 kwenye account yake . Jamaa alipata mshangao wa ghafla ukizingatia mke wake hata mshahara wake haufiki hata 800,000/=
Jamaa alichokifanya, kwa kuwa alikuwa ameorodhesha vipaumbele kama 15 vya kufanya Biashara na wakata huo yeye alikuwa na Million 4.
Alianza kumshirikisha mke wake na kumshauri kama wanaweza kwenda kukopa Pesa sehemu yeyote. Mke wake baada ya kuona vipaumbele viwili vinaweza kuwapa Utajiri. Alimwambia mume wake kwamba anaweza kukopa million 13 kwa dada yake ili wafanye biashara hiyo.
Baada ya Miezi 7 ya kufanya Biashara million 9 ilikuwa imepatikana kwenye hiyo biashara km faida. Na mwanamke alichukua hizo million9 na kuzirudisha kwenye account yake . Baada ya miezi 4 balance nyingine ilikuwa imepatikana.
Baada ya hapo wakaanza kutumia faida bila Mkopo ambao, mwanaume alifahamu fika umetoka kwenye account ya mke wake.
Sasa, ushauri wangu siyo uende kwenye hangs bag ya mwenza wako au kuchungulia Account yake. Ila nakushauri wanaume, tuwashirikishe wanawake zetu. Kwa faida ya family.
Ila ingekuwa wewe ndo mwanaume umekuta mke wako ana Pesa zote hizo, ungewaza vingine.