20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,261
Habari zenu wanajamvi,
Uhusiano wa kawaida ambao unajengwa na jinsi mbili KE na ME, Umekuwa na changamoto kadhaa kwa watu kushindwa kujua jinsi ya ku deal na wenzao wao, kujua nani ni perfect match wake.
Tuangalie kwa ufupi jinsi nafasi zetu za kuzaliwa katika familia, hapa nitagawanya katika makundi yafuatayo.
1.First born (watoto wa kwanza), 2. Watoto wa kati (hawa ni ambao si wa kwanza wala wa mwisho), 3. Watoto wa mwisho (Last born), 4.One and only (ambao wamezaliwa peke yao kwao). Ngoja tucheki tabia zao kwa ufupi tukizihusianisha na mahusiano.
FIRST BORN, hawa wamekuwa katika nafasi za viongozi, wamekuwa wakipewa majukumu ya kuongoza wadogo zao na kuwalea pia sometimes kipindi ambacho wazazi hawapo. Hutegemewa kufanya maamuzi binafsi na huandaliwa kwa hilo ili kuweza kuwaweka walio chini yake katika mwelekeo sahihi. Wanakuwa na maamuzi ninafsi, hupenda kutoa hoja na kusikilizwa, hawapendi kupelekeshwa. Watu ambao wanajua sana kupenda na kudekeza.
LAST BORN, Hawa wamekuwa katika nafasi ya kuto wajibika sana katika familia, wamekuwa ni watu wakudeka kusubiri kufanyiwa na kupewa solution ya nin kifanyike. so ukikuta mtu kila kitu hawezi simama mwenyew na kuamua bila kusuasua hadi hapate ushauri au sapoti ya mtu, mara nyingi ni watu wa kundi hili, sio risk takers na ni wasikilizaji na wanaofanya wanayo ambiwa.
WAKATI KATI,Hawa hawatabiriki, wanakuwa wapo kati, wanaweza jisimamia, wanawez kupenda na kurudisha upendo pia, wadekaji wapo. Hawa wapo kati kama jina lao lilivyo.
One and only, hawa watoto wa pekee, hawanaga tofauti sana na wa kati kati, wanauwezo wa kucheza pande zote, wanapenda sana kupendwa hawapendi kusumbuliwa kutokana na jinsi walivyo kuzwa kwao
Sasa unachotakiwa kufanya ni kucheki nafasi yako na ya mpenzi wako then ujue jinsi ya kuishi nae, unaeza kuta una KE wako ni first born kwao so usione kama anakupanda kichwani akiwa ana pinga hoja zako, huyo anataka muende hoja kwa hoja na si kuperekeshana, kinyume na hapo hamto dumu. Au unakuta ME wako ni mzito kufanya maamuzi,kumbe ni last born na ni wagumu kutake risk, wew msome na jua jinsi ya kuashi nae.
IKIWA HIVI ITAPENDEZA ZAID
ME ni first born, mpenzi wake akawa last born ni perfect zaid, hata akiwa mwingine kwenye kundi hilo aina noma ila asiwa KE ambaye ni first born itakuwa daily majibizano.
KE first born, ajitafutie ka last born kake akapelembe, wataishi poa kabsa na kuenjoy uhusiao. Tena hapa ndo ukute KE kamzidi umri ME
ONE AND ONLY, Akikutana na wa type yake itakuwa shida kidgo, vema akapata wa kundi jingine.
KATIKATI, hawa wanaweza match na yeyote yule