Gun Jun Pyo
Member
- Jan 17, 2015
- 26
- 4
Najitokeza kwenu mm ni mwanaume umri miaka 28 natafuta msichana wa kuoa umri ni kuanzia miaka 18-26 mimi naishi Dar es salaam nitumie PM kwa aliyeko tiyari..
Kuna huyu atakufaa nikuunganiahe nae?
Kuna huyu atakufaa nikuunganiahe nae?
Kuna huyu atakufaa nikuunganiahe nae?
Hahahaaaa
Upo? Mbona kimya
Mi npo.....shule inabana adi nakosa mda wakuingia jf mkuu
Pole sana ila naomba unitafute.
Guyz dont joke bana me nipo seriuz natafuta mke nyie mnaanza matani acheni hizo bana
Tupia picha yako tuone kama unilipa
Onyesha kwanza utayari mengine utayajua usihofu
Wewe tupia tu jf wapo weng ila kama sura yako mbaya nupat mtu
Waswahili wanasema mwanaume pesa sura tunavumiliana mimi nina sura mbaya..
Basi umekosa bahat ya kupendwa na mrembo kama mm....unamjua john dumelo???