Jamani naombeni ushauri kuhusu hili

Jamani naombeni ushauri kuhusu hili

T 1990 ELY

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
13,126
Reaction score
30,573
Nilikuwa na demu wangu miaka miwili iliyopita.sasa Jana nilikuwa maeneo fulani hivi nakula ujana gafula demu wangu nikamuona anatoka guest na jamaa fulani hivi kule kumuulizia akadai jamaa alikuwa anamtongoza ila akamakataria eti yupo nampenzi wake ambaye ni mimi. sasa wadau kweli kuna mapenzi ya dhati hapo maana hali aliyotoka nayo siyo kwa kweli.Nahisi kauza mechi wana MMU
 
Macho yako yanaona vizur au mpaka uvae miwani!childish
 
Mi naona hakuna mapenzi ya dhati, wote ni wala ujana mtakutana viwanjani sana tuuu
 
Ulimuonaje anatoka gesti kama na wewe hukuwa gesti.....

Chai hizi
 
Kuna haja ya mods kuongeza jukwaa la uongo na story za kutunga
 
kwa hiyo ndo umekuja kumshtakia huku?!!..
 
Sasa kama wewe umemuona na kushindwa kudecide sisi unaotudanganya tutawezaje kutoa decision!!

Nenda kamalizie "homework", kesho darasani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom