Nini Tofauti ya uzuri na urembo?

Eng. Smasher

JF-Expert Member
Nov 13, 2010
745
23
Happy Valentino's Day wanajf!!
Kuna Vivumishi 2 vinanimix sana hebu nisaidieni coz leo ninataka nili2mie mojawapo!!
 
Kuna factor zozote zinazomfanya mtu aitwe MZURI au ni perception ya mtu???
Kila kitu ni perception!Ila uzuri ni ule unaouona akiamka tu kabla hata hajanawa uso...akitoka kuoga kabla hajajiREMBA!Ndo maana kupaka make up na vikorokoro vingine kunaitwa kujiremba na wanaume hawaitwi warembo kwasababu hawajirembi!
 
Thanks Mkuu same 2 u!!
Nilikuwa sijui ndo maana kuna Binti 1 aliniuliza kama yeye ni MZURI nikamjibu yeye ni MREMBO akanuna!!!

Kwanini anune Mkuu anaweza akawa Mzuri na Mrembo pia..., Dada zetu wengi ni wazuri as well as warembo sio mbaya ni vema kuongezea mvutio...

Pia kumbuka uzuri ni more than appearance (yaani pamoja na sura nzuri anaweza akawa na vitu vingine vya ziada) lakini urembo ni appearance peke yake...
 
Kila kitu ni perception!Ila uzuri ni ule unaouona akiamka tu kabla hata hajanawa uso...akitoka kuoga kabla hajajiREMBA!Ndo maana kupaka make up na vikorokoro vingine kunaitwa kujiremba na wanaume hawaitwi warembo kwasababu hawajirembi!

Hii safi.
 
Mhh! Siku Midume inajiremba haswa sijui nao 2waite WAREMBO au ndo siku hizi wanajiita MASHAROBARO??!!

Kila kitu ni perception!Ila uzuri ni ule unaouona akiamka tu kabla hata hajanawa uso...akitoka kuoga kabla hajajiREMBA!Ndo maana kupaka make up na vikorokoro vingine kunaitwa kujiremba na wanaume hawaitwi warembo kwasababu hawajirembi!
 
Wanasema

"The Beauty is in the Eyes of a Beer Holder" :lying:

Kaka nimeupenda huu mchakachuo kutoka " the beauty is in the Eyes of the beholder" hadi in the Eyes of the beer holder! hahahaha! poa sana hick! we binti ni mzuri sana hick! njoo hapa we hick!
 
Back
Top Bottom