Kuwa na mtoto na kutokuwa na mtoto kunategemea na DEPRECIATION ya mwili. Si unaona Zari na Penny na Wema. Zari is 41, mother of 4 lakini ukimuweka na kina Penny watoto wa 20s anawatoa KNOCK OUT vibaya mnooo kimuonekano. Unaweza usizae ukajiachia. Sema tu tusemage ukweli ukizaa bwana Nyonga ina tanuka hata ufanye vipi. Katika hili mwanamke aliezaa hawezi kuwa sawa na kigori hata siku moja.
Mwanaume wa aina gani tunamuongela. Mfano kama mwanaume na wewe una watoto mwanamke aliezaa huwezi kuona big deal. Au kama ni mwanaume wa uswazi kwetu ambapo kuzaa sio ishu unajione kawida tu, kazaa so what? Au umelelewa na single mother, nothng was wrong with your mother. Au wewe mwenyewe ni ka bastard, so ulizaliwa nje ukalelewa nje huwezi kuona mtoto ni issue.
Experience ya mtu, unaweza kuwa unatoka na vigori lakini vina kupasua kichwa kila uchao. Au mtu mwenye vitu unavo vihitaji a.k.a soul mate ndo alisha zaaga. Huwezi kuona ishu sanaa ukizingatia mwenyewe umehangaika sanaa.