Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Binti kwao hujulikani tena hata posa hujatoa,lakini unaangushiwa shida mfululizo mpaka unakaa na kujiuliza hivi mimi ni shirika la misaada au ishu ya tumbo la period tu, basi mtu wa kwanza kupewa...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Mambo? Ni matumaini yangu sote tumeuanza mwaka vizuri. Wagonjwa tunawaombea mpone haraka kabla hatujaimaliza January, inshallah. Mapenzi matamu lakini machungu, asilimia kubwa tumewahi kuwatenda...
13 Reactions
399 Replies
38K Views
Kuna kaka yetu alikwenda Sweden Mwaka wa tisa mpaka sasa hajarudi ila through tango tukimwona tunaamini yu mzima. Miaka mitatu iliyopita alipelekewa mwanamke, walidai alikuwa rafiki wake wa...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Baba na mama baada ya kurudi kazini pamoja wakakuta barua iko mezani sebuleni ikisema. "Baba na mama, ni matumaini yangu kuwa mtasoma ujumbe wangu huu kwenye karatasi niliyoiweka juu ya meza...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Nimesikia sehemu nyingi wakisema kama ukinywa pombe za kutosha mwanamke aliyekuwa hakuvutii kabla ya kupiga pombe anakuwa MISS WORLD kwako. Hivi ni kweli
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Mimi Mjasiriamali nahitaji Mke mwenye vigezo vifuatavyo: -Mkristo na hasa awe tayari kufunga ndoa RC -Mfanyakazi na hasa mwalimu. - Hajawahi kuolewa au kuzaa. -Asiwe mwembamba na sio...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wanajulikana kwa majina ya Ganga pamoja na Jamuna Mondal wakiwa na umri wa miaka 45 waliongana wakiwa ni raia wa nchi ya India walizaliwa mapacha,lakini cha ajabu ni kwamba wanashare bwana...
1 Reactions
32 Replies
22K Views
Wana Jamii Forums, Kuna watu humu huwa wanajifanya mabingwa wa kugawa maraha mpaka mtu anaridhika, awe Mume awe Mke wote huwa wanajisifia kuwa wanajua sana , hii dhana ya kujua huwa wanajua...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Wanaume wengi wanaotoka mikoani wamezoea wakitoka out na msichana hata wakiwa na buku ten tu inakuwa fresh tu. Yaani: Daladala 800x2=1600 Kiepe kikavu 800x2=1600...
4 Reactions
73 Replies
8K Views
Habari wapenzi. Hakika nimeamini kwamba wanaume ni wabinafsi sana, simaanishi wote ila asilimia kubwa ni wabinafsi. Akicheat yeye kwenye mapenzi wala ila akicheat mwanamke inakuwa shuguli pevu...
14 Reactions
314 Replies
25K Views
Nilikuwa kwenye basi maenea fulani ya Temeke naenda Mbagala, kuna dada alikuwa kwenye simu akijaribu kumshawishi rafiki yake aachane na mwanaume aliyekuwa nae sasa ili aolewe na mwanaume ambaye...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
1. Faith: A truly God fearing lady who is a Christian whereby a RC is preffered. 2. Age: has to vary from 24- 27 years or slight differences. 3. Education: At least a bachelor's degree, a...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari wadau. Kuchepuka najua ni kosa ila mazingira yanachangia. Mchepuko wangu ukija gheto akiona shat au tshirt yangu nzuri anaiomba na kuondoka nayo. Nashindwa kumuelewa nikimwambia...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
If you were a man walking across the campus of Florida State University in 1978, an attractive young woman might have approached you and said these exact words: "I have been noticing you around...
0 Reactions
63 Replies
9K Views
1. Faith: A truly God fearing lady who is a Christian whereby a RC is preffered 2. Age: has to vary from 24- 27 years or slight differences 3. Education: At least a bachelor's degree, a teacher is...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tuliachana muda wa miaka miwili. Sasa naona jamaa anataka kurudisha mawasiliano baada ya kusikia nachat sana na rafiki yake wa kiume. Nikimuuliza mbona hivi anadai nimsamehe anasema ulikuwa...
1 Reactions
81 Replies
9K Views
Habarini za Leo Wapendwa. Kwa wenye hangover poleni!! Next time take water with each drink. Sasa bwana sijakosea wala nini. Hii mada inahusu kina mama manake sijawahi kuona ama kumsikia mwanamme...
13 Reactions
63 Replies
7K Views
This is tree looks like a pregnant woman. Thus we call life and nature.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Rejea kichwa cha habari. Posted By: Khantwe
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Nilikua ninapiga story na lecturer wangu, anamiaka60+. Anamkwanja mrefu sana kwani alikua na kampuni yake aliiuza kwasababu ya umri na pressure ya kazi, baada ya kuboreka kukaa nyumbani aliamua...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…