Mchepuko unaomba kila tshirt/shati

Mchepuko unaomba kila tshirt/shati

Big Lion

Member
Joined
Jan 5, 2015
Posts
46
Reaction score
15
Habari wadau.

Kuchepuka najua ni kosa ila mazingira yanachangia. Mchepuko wangu ukija gheto akiona shat au tshirt yangu nzuri anaiomba na kuondoka nayo.

Nashindwa kumuelewa nikimwambia ntamnunulia yake hataki anataka zangu. Shat 5 na tshit 3 zishaondoka.

Kinachonitia uoga mchumba wangu akija anapenda kunifulia na alishaniuliza mbona shat fulan siioni? Najitetea nimempa dogo.

Ushauri wadau nifanyeje.
 
ndumba.jpg
 
Ushari ni kwamba baki njia kuu af uache kumfulisha nguo mchumba subiri utoe mahari ndo ufuliwe
 
nji zenyewe kuu nazo zina mabonde anyway wahi kupita hiyo milima iliobakia maana najua kabla ya kwenda michepuko ulikutana na njia kuu ...ukashindwa kuisawazisha ..eneweyi bado una nafasi mpwaa...hao noma sikuhiiz ...hata sabun unaayooga nayo lodge inatosha kukusambaratisha ukamwita mkeo nyangau wewe nauta kukuokota ...oooh ....
 
Habari wadau.

Kuchepuka najua ni kosa ila mazingira yanachangia. Mchepuko wangu ukija gheto akiona shat au tshirt yangu nzuri anaiomba na kuondoka nayo.

Nashindwa kumuelewa nikimwambia ntamnunulia yake hataki anataka zangu. Shat 5 na tshit 3 zishaondoka.

Kinachonitia uoga mchumba wangu akija anapenda kunifulia na alishaniuliza mbona shat fulan siioni? Najitetea nimempa dogo.

Ushauri wadau nifanyeje.

HATIMILIKI. Mchumbaako ndo nini na mchepuko ni nn apo? Mim nikijua umeoa, na sasa una onja onja kwa wasio olewa/ wake wa wenzako(mchepuko). KUMBE NINYI WOTE WATATU, HAKUNA ALIYE NA HATIMILIKI.

Cha kufanya....mchumba wako akikuuliza zi wapi zile t-shirt, sema nimempa dogo. Na mchumba wako anayechukua t-shirt na mashati akija na kuipenda nguo ingne...mpe, utanunua nyingine. UNAISHI MAISHA YA KIHUNI...Xafi xana. Ukimaliza kusoma...utakuwa ume-improve much. YAKIKUKUTA MENGINE YATOKANAYO NA MAISHA HAYA ya wachumba wako hao wawili...URUDI TENA HUMU...Uje kuomba huruma.
 
Habari wadau.

Kuchepuka najua ni kosa ila mazingira yanachangia. Mchepuko wangu ukija gheto akiona shat au tshirt yangu nzuri anaiomba na kuondoka nayo.

Nashindwa kumuelewa nikimwambia ntamnunulia yake hataki anataka zangu. Shat 5 na tshit 3 zishaondoka.

Kinachonitia uoga mchumba wangu akija anapenda kunifulia na alishaniuliza mbona shat fulan siioni? Najitetea nimempa dogo.

Ushauri wadau nifanyeje.
Embu usitupotezee bundle na muda ili tusome upuuzi!
 
huyu sio demu wangu wa zamani anakaa kule external ..yaani yeye kila siku nguo hajafua baby ukija niletee tshirt mara nileteee tight..mxxxxx nikapiga nyama chini..yaani huyu alinichefua sana eti nimepiga kavu ijumaa asubui jmosi jioni eti anasikia kichefuchefu kapima ana mimba? khaaaa yaani anafast track mimba? siku nimekutana naye ngwasuma nikamuuliza mtoto umemuacha na nani ananisonya balaaaa...usifanye hivi Leila
 
Ushari ni kwamba baki njia kuu af uache kumfulisha nguo mchumba subiri utoe mahari ndo ufuliwe

Amna sio jamaa anamfulisha ni demu mwenyewe anajionyesha kuwa ni mchapa kazi, sasa asipoangalia atafuaa na kuudumia mpk aote suguu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom