Tumsaidiaje huyu kaka yetu

Tumsaidiaje huyu kaka yetu

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,190
Reaction score
38,578
Kuna kaka yetu alikwenda Sweden Mwaka wa tisa mpaka sasa hajarudi ila through tango tukimwona tunaamini yu mzima.
Miaka mitatu iliyopita alipelekewa mwanamke, walidai alikuwa rafiki wake wa kike.Baada ya mwaka bibie kazaa alikoshukia kambi ya ukimbizi.

Akawa akipata muda wanaenda kusabahiana, kaka yeye yuko geto na wenzie watatu.Binti alipoanza kwenda getto kumsalimia kaka akimkosa wakati wa kumsubiri kaka arudi kibaruani kumbe kuna jamaa mmoja mate wa kaka walianzisha mahusiano ya mapenzi wakafanya siri.

Ninavyoongea binti kaanza kugoma kwenda kwa kaka,baada ya muda kupita akamtumia ujumbe mfupi wa maneno kwamba "Niache nimempata wangu mahabuba" Wazenji mnaelewa zaidi.

Huyo rafiki yake kaka aliyemsariti jana kaaga geto kahamia lake.Ingawa sina uhakika kaka anadai binti ana mimba ya jamaa wake huyo mpya.Wabeba mabox mna mambo kweli embu msaidieni serious kama ndugu.


Kaka ndiye aliemtumia nauli na kila kitu akiwa Dar es salaam. Muwe makini mnaong'ang'ania kupeleka mizigo yenu huko.Imeniumiza sana sana maana imenikumbusha kifo cha rafiki yangu mpendwa Walter Mazula. Mungu amuhifadhi pema.
 
Duuuhh kumbe ukitulia unaweza kuandika eeh???! BTW inauma lakin haina jinsi, amwache tu na maisha yataendelea!!!
 
Pengine kaka yako alikuwa ndo hivyo tena.
.................... Walau umejitahindi kuandika, sijui umeandikia baa.
 
Hahaaaaaaa. Maa.........achatu. Ndani ya. S8
 
Yaanihayamapenzi namimaahabuba hawaloh
 
Pengine kaka yako alikuwa ndo hivyo tena.
.................... Walau umejitahindi kuandika, sijui umeandikia baa.
Haahaaa aunt. Alikuwarijali bana sijui baada yakuzaaa achatu
 
sasa kakako nae pimbi kaletewa mke yeye ana kalia geto....
 
Cc,pdidy legal n advs
 
True campo mambomengine. Unaamuakutoasadaka
 
Back
Top Bottom