Habari zenu jamani, ni matumaini yangu kuwa wote hamjambo, mimi pia sijambo; mimi ni member wa mda mrefu lakini mara nyingi nilikuwa si mwongeaji bali nimekuwa nikijifunza kupitia post tofauti...
Wana MMU.
Kutokana na tafiti za mapenzi, watu waliokutana kwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye chumba chenye giza, ikiwa wote hawafahamiani hata kwa sura,wote waliambiana na kuelezana vyema na...
Kuchepuka sio vyema kabisa,tena na rafiki wa mwenza wako na sisi wanaume tulivyo wakorofi hapo si ajabu hapo jamaa akirudi home mwanamke atachezea kipigo.
Wakati na jamaa nae katoka...
Heshima kwenu wadau.
Ni vizuri tukajiwekea utaratibu wa kujitazama mara mbili hasa kipindi cha birthday na kujiangalia step unayopiga kila mwaka unavyoongozeka.
Sio unafurahi sana peke yake na...
Wana MMU Jumapili ni siku ya familia.
Tunaweza kujifunza maisha ya upendo kupitia kwa mama huyu ambaye nilimuuzia kiwanja maeneo ya Mbezi chenye thamani ya million 130.
Huyo mama ni advocate...
Ni kwamba inasemekana kinadada mnaovaa suruali za kubana asubuhi mpaka kulala jumatatu mpaka jumapili umo tu unakabiliwa na tatizo la kuwa na Maji mengi kunako sirini hii tokana na joto kali na...
Wakuu natumaini hamjambo.
Wiki mbili tatu nilivua mchepuko pale Empire club, Arusha.mashallah yuko vizuri maana alishadate ngozi nyeupe wakamwachia mtaji, anafanya biashara yake mjini.
Cha...
Sebene limeanza usiku, kutokana na tabia yake ya udukuzi wa simu yangu hasa upande wa message na last calls wakati nimelala.
Asubuhi akaamka na mimi tena, nikaona isiwe tabu ngoja nimuepuke...
Msongo wa mawazo
Asilimia kubwa ya tatizo hili husababishwa na msongo wa mawazo unaotokana na ugumu wa maisha (uchumi), matatizo katika uhusiano (ugomvi, kutoelewana, kutoaminiana au kukosa...
Baada ya kusumbuliwa mwezi mzima na mke wa mtu akinitaka niwe mpenzi wake (au niseme sex machine yake) nimegundua njia nyepesi na isiyotumia nguvu kejeli wala matusi ya kumkwepa.
True Story...
Mimi ni kijana wa miaka 25 katika maisha yangu huwa najisikia mpweke sana kama sipo kazini.Kwani sijawahi kuoa na sina mpenzi wala mchumba.Nahitaji mwanamke yeyote wa kubadilihana naye mawazo.
My...
Habari wana MMU
Naanza moja kwa moja na tatizo langu. Mimi ni kijana wa miaka 28 naishi na mpenzi wangu ana umri wa 26.
Kwa miaka mitatu ila hayuko tayari kuzaa wala kuolewa na mimi na anasema...
Mitindo ingekuwa na maendeleo kiasi gani bila uwepo utumwa na ukoloni?
Katika mfululizo wa Barua kutoka kwa waandishi wa habari wa Afrika, mwandishi na Mtunzi wa Riwaya,Tricia Nwaubani anaangazia...
Mapenzi ni matamu sana hasa ukampata yule akupendae kwa dhati, na kama ni KE mwenye kubembeleza kwa sauti ya upole, na asiwe anapaza sauti pasipo stahili, na kama ME awe mwenye kujua kutafutata na...
Tatizo ni lipi.
Najua wengi mnaenda kunitupia mawe na kuniambia eti kama hutaki kusoma usifungue uzi huu, lakini kwa kweli wana Jamii Forums mmezidi na hadithi za kiupuzi kuhusu ngono na...