Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Naamini hamjambo. Wale tusiopenda habari ndefu tuendelee na mambo mengine kwani karama ya kufupisha haijanipitia bado ila naitaka. Leo nilikuwa nikiperuzi gazeti la kila siku la THE CITIZEN...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wanaume wengi hupenda kuoa wanawake wenye tabia na mienendo mizuri (wife materials). Ndiyo maana kukawa na usemi kuwa uzuri wa mwanamke siyo urembo ni tabia. Lakini imedhihirika pasipo shaka...
5 Reactions
60 Replies
8K Views
Umekataa kutoka unajisikia uvivu, naanza kupata tu moja baridi moja moto, simu zinaanza! Mara oh uko wapi.Uko na nani! Mbona unachelewa. Aah! Nusu saa tu ushaanza kupanick! Si umekataa mwenyewe...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Wasalaam wana MMU. Kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikiongezeka uzito kiasi, hiyo ni baada ya kuwa "mbavu mbili" hivyo nilianza kufakamia misosi ila "kitumbo" kinanichukiza, hivyo naomba...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nisiwachoshe, Ni hivi wakati nam approach mwaka 2011 tukiwa Chuo alikua na jamaa yake ambaye hatukua nae chuoni, ila kwasababu mimi ni king`ang`anizi sana ilifika mahali akanikubali, jamaa akipiga...
4 Reactions
123 Replies
12K Views
Simaanishi tufahamiane kwa majina yetu halisi au tubadilishane no za simu, la hasha. Nimegundua kwamba humu Jamii Forums na MMU in particular kuna watu wa kada mbalimbali, so tukifahamiana kwenye...
10 Reactions
374 Replies
25K Views
Habari wanajamvi,nimeikuta mahala na ikanifurahisha sana. Heri yako wewe unayesaka mke mwenye tabia nzuri,mi huo Msako nimeacha siku nyingiii,kama ni tabia nitamuazima Tabia zangu...
6 Reactions
71 Replies
10K Views
Wapendwa wana JF naombeni msaada wenu katika hili; Mimi nipo kwenye ndoa ni mwaka mmoja sasa lakini matatizo ndani ya hii ndoa hayaishi.Mimi na mme wangu wote tunafanya kazi ila kuna mambo...
0 Reactions
47 Replies
9K Views
Nina miaka 31yrs, niko Dar es salaam, ni mwenyeji wa Mbeya,elimu ni O'level,mrefu 178cm, 75kgs, black, Mkristo KKKT, nafanya kazi na kuishi Dar es salaam. Ni muajiriwa Serikalini. H.I.V-tutapima...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi katika pita pita zangu nimewahi kushuhudia kusikia na kushirikishwa pia baadhi ya wanaume mnaweza kuowana mkiwa katika umaskini mkatafuta kwa shida zote na mume akawa na Heshima tele...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Desperate times calls for desperate measures
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Zikiwa zimebaki siku chache sana kufunga mwaka, napenda kiwashukuru wadau wote wa jukwaa hili ambao wameendelea kulifanya moja ya super brands za JF. TANGA WING: Nawashukuru sana kwa kila kitu...
18 Reactions
440 Replies
23K Views
1.Anakupigia simu mara kwa mara kukujulia hali: Anakupigia simu asubuhi kukujulia hali kama umeamkaje, mchanaatakupigia simu kujua umeshindaje na kama umeshakula chakula cha mchana, midamida ya...
10 Reactions
112 Replies
22K Views
Hivi nyie Wanawake wengi wenu mbona mnafanya mambo ya ajabu sana. Jana natoka kazini ndipo Dada mmoja ambaye ni rafiki yetu mimi na mchumba wangu akanipa taarifa kuwa amemsindikiza mchumba wangu...
3 Reactions
63 Replies
12K Views
Riwaya: ISABEL Sehemu: 01 Mtunzi: Richard MWAMBE (Amata ga imba) Kasulu - Kigoma Vumbi jekundu lilikuwa likitimka huku na kule katika eneo la stand mpya ya Kasulu, kila mtu alificha uso wake...
7 Reactions
134 Replies
49K Views
Heri yako wewe unayesaka mke mwenye tabia nzuri, mi huo msako nimeacha siku nyingi, kama ni tabia nitamuazima tabia zangu tukishaoana. Kisa cha kujinyima vitu vizuri kisa nasaka mama paroko...
7 Reactions
43 Replies
5K Views
Wimbo upo tatizo wa kumuimbia ndo hakuna. SAUTI SOL Verse 1: Lazizi wangu wee Zawadi nono kutoka mbinguni Nakuwaza my baby ( Nakuwaza my baby) Nikikuwaza usiku silali Chorus: Nikikuona na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu. Moja kwa moja naenda kwenye mada. Kuna jamaa alihabarishwa na mkewe kwamba kuna mshikaji anamtokea,basi jamaa kwakuwa anamjua huyo mshkaji anauwezo mzuri kifedha akapanga...
1 Reactions
74 Replies
7K Views
[emoji84]
11 Reactions
414 Replies
25K Views
WanaJamvi nimeikuta pahala hii nami naileta kama ilivyo NO EDITING, NO ADDITION, NO OMMISSION.... Sio kila EX ni EXPIRED, EX zingine ni EXAMPLE: Utanielewa tu... Ulimwengu huu tunaoishi muogope...
9 Reactions
142 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…