mamsapkhan
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 843
- 267
Mimi katika pita pita zangu nimewahi kushuhudia kusikia na kushirikishwa pia baadhi ya wanaume mnaweza kuowana mkiwa katika umaskini mkatafuta kwa shida zote na mume akawa na Heshima tele.
Lakini cha kushangaza Siku akipata tu anageuka na kuongeza Nyumba ndogo na wengine hutoweka kabisa hii maana yako nini jamani.
Lakini cha kushangaza Siku akipata tu anageuka na kuongeza Nyumba ndogo na wengine hutoweka kabisa hii maana yako nini jamani.