The Kop
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 209
- 93
Wasalaam wana MMU.
Kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikiongezeka uzito kiasi, hiyo ni baada ya kuwa "mbavu mbili" hivyo nilianza kufakamia misosi ila "kitumbo" kinanichukiza, hivyo naomba mnishauri aina ya mazoezi ninayoweza kujifanyia mwenyewe bila kwenda "Gyme".
Natanguliza shukrani.