Kwa kawaida wanaume tumeubwa kupambana na chagamoto kubwa sana hapa ulimwengu.
na kuna chagamoto ambanzo kamwe ukimwanchie mtoto wa kike hawezi akaziwenza.
katika siku za hivi karibuni...
Wanawake sijui wanapata tabu gani kumuona mwanamume akiwa kifua wazi . wengi ukuwatizama aibu zao utadhani wamemuona mwanamume utupu wake kumbe kifua tu jambo hili silielewi wakati mwingine...
Wengi washapata kuugulia maumivu ya usaliti wa rafiki zao na wapenzi/wake zao huku wakijiuliza nani alaumiwe kati yao, rafiki zao ama wapenzi wao ni kawaida sana kumtambulisha rafiki kwa mpenzi...
Habari zenu wana-JF wote na wale wanaotembelea tovuti hii,naomba nichukue nafasi hii kusema hili kwa mara ya kwanza hapa ndani ya JF.
Ninahitaji msichana mrembo ambaye nitaanza naye uhusiano...
Vipi una changamoto sana za kifedha eh! kila mwezi ukifika katikati huna hata elfu?Lazima utakua kati ya hawa.Hujawahi fikiria kama biashara ya maandazi ina hela sana hadi ulivyoona Baresa...
Ndugu wanajamvi.
Ndoa yangu imekuwa na mtikisiko kidogo ambao kwa kiasi fulani unanipa shida hivyo nakuona kama vile mke wangu hanifai kwa sasa.
Anaonekana ana tatizo la kisaikolojia na hivyo...
Hellow.
Jamani katika pitapita zangu fulani nikakuta mzozo sehemu ambao ukisema hivi mwanaume anaweza akasomeshwa na mwanamke wengine wakasema inawezekana na wengi wakasema haiwezekani.
je wana...
Wanajamii ni jumatatu nyingine.
Tuongeze maarifa kidogo! Asubuhi hii nimepanda Noah kuelekea kibaruani kwangu, abiria tulikuwa km 10 na wajinsia tofauti.
Mada ya mahusiano ikaja Ilianzia katika...
Hey! Atention!kama wewe ni single mother na kama unataka kuingia kwenye ndoa basi zingatia machache haya:
kwanza kabisa kabla mwanaume hajakutamkia suala la kukuoa huwa anakuwa na maswali mawili...
#Majanga
Katika kosa ambalo linajutia maishani mwangu ni kutumia $25,000/= sawa na Tshs 40,700,000/= kuhonga/kununulia mademu kwa muda miaka 4 yaani toka mwaka 2009 mpaka sasa, najitahidi sana...
Wana Jamvi.
Wachina ukiwaangalia kwa undani utadhani ni watu wazuri sana lakini huko nje ni wabaya zaidi. Wamekuja tanzania wakakuta fursa nyingi kwani tulikuwa tumezubaa sana kiuchumi.Mwanzo...
Naamini Jukwaa hili ni kisima cha mengi.
Jamaa kaenda kazini kurudi anakuta mkewe kaondoka na vitu vyote vya ndani kamuachia kabati lenye nguo zake tu.
Ameniomba ushauri, na inaelekea ndio...
Habari Wana Jamii Forums.
Kama title inavojieleza ni kuwa mie ni mwanaume mwenye miaka 32 na nahtaji mwanamke wa kuanza naye
maisha ya familia(mke na mme). Elimu yangu ni bachelor degree na ni...
NATAKA KUOA:
Naogopa majaribu, kuoa nimenuia.
Kwa kukwepa maswahibu, yaliopo kwenye ndoa.
Nimepanga taratibu, sifa za anae faa.
Natafuta wa kuoa, mdada alo na sifa.
Namtafuta bubu, awe na kiziwi...
Habari za uzima wakuu wa L-connect.
Mimi ni kijana ofcourse, age >24 and <27.Nahitaji mwanamke mrembo kutoka jamiiforums, umri wake uwe si zaidi ya miaka 28 na usipungue miaka 18.Napendekeza wote...
Habari za jioni wakuu.
Poleni na kazi za ujenzi wa taifa letu,kunajambo limenisumbua mda mrefu sana nimeona leo nililete hapa jukwaani niweze kupata msaada wenu jambo lenywewe ni upendo ni nini...
Habari zenu wanajukwaa letu la MMU.
Leo nina jambo ambalo ningependa tulijadili kwa uwazi ili tuone kama tutapata cha kutufunza. Katika maisha ya kila siku tunashuhudia usaliti kwa wanandoa kwa...
Sipendi lakini inanitokea yaani akipita mdada namuangalia mara najistukia kisha najilaani sana mara nyingine nipo karibu na watu wangu wa karibu au waheshima .
Ingawa moyoni sina wazo lolote na...