Wachina wameharibu sana uhusiano wa wapendanao kwa ugonjwa huu

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,753
7,075
Wana Jamvi.

Wachina ukiwaangalia kwa undani utadhani ni watu wazuri sana lakini huko nje ni wabaya zaidi. Wamekuja tanzania wakakuta fursa nyingi kwani tulikuwa tumezubaa sana kiuchumi.Mwanzo kabisa walianza vizuri kwa kuchangamkia tenda za kuleta vitu origino, baada ya biashara kunoga sasa wameamua kuaribu familia zetu za kitanzania kiuchumi , kijamii na kiutamaduni.

KIUCHUMI:
Walipofika Tanzania walikuta wakinana mama wanajishonea chupi za vitenge au kitambaa laini cha kotoni , baadaye nao wakaanza kutengeza zao wakichanganganya na polyster kwa asilimia 20% baada ya kunogewa na biashara wakatengeneza nyloni ambayo kwa asilimia 100% hutengeneza virus ambazo zikiwa sugu zinaleta UTI, hapo ndipo wanandoa huanza kutumiiana kuenezana magonjwa kutoka nje ya mausioano, kama vile, nje ya ndoa, nje ya mpezi wako wa kidole na pete. Mausiano mengi yamevunjika kumbe chanzo ni chupi za kichina zenye 100% Nyloni aau inaitwa mtambo wa fungusi. Zamani wakati mwingine hawakuitaji chupi hizi pamoja skini tight bali zile nguo kaniki za kufunga na uzi laini , huku ukitegeshea kamba ya kujuta wakati wa kuvua.

KIJAMII:
Wachina wametengezeza vitu mfano wa uume ambao wadada wengi huutumia kujiudumia, jambo hili ni baya sana kwani inaleta usugu wa kujiamini kuwa bila mume unaweza kuishi kwa hisia tu, hii uwafanya wadada hasa wenye pesa kuwa na jeuri mwisho wa siku hujikuta wamezeeka au kupitisha umri baadaye kujilaumu kwa kitendo kile , kwani wengi wanaharibika kwa sabababu hawajipimii shughuli hivyo akikutana na mwanaume huisi ni lege lege kumbe yeye ndiye amejiharibu kwa kuponda ponda huko ndani.

KIUTAMADUNI; katika tamaduni zetu mwanamke huwa ana haiba ya kuvua pichu, lakini mchina kaharibu eti anatengeneza kitu kinaitwa bikini, bikini zina madhara mengi , kwanza bikini kufuatana na kuzama ndani sana humfanya mwanamke kila mara kuwa na hisia za kimapenzi, pili ni mbaya kwani mwanaume badala ya kuangaika kutoa vazi liloenea yeye uvuta tu kama vioo vya landrover 109, yaani ni kuvuta pembeni na kuanza kusherekea, wakati mwanaume anapenda sana kuangaika kwani kunaongeza munkali.

Wakina baba, wakina mama, wakina dada zikataeni pichu za nyloni nunu kotoni 100% muepuke ugomvi utokanao na fangas na UTI.
 
mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake,mbona zenye material nzuri zipo.Tatizo ni bei tunapenda vitu cheap bila kuangalia quality.
Tuanapenda vitu cheaper lakini UTI inatesa sana wakina mama na sisi wanaume inatutesa maana papuchi ya ndani ukiikosa huku unajua kuwa inaumwa unaumia zaidi.
 
asante kwa mada nzuri,nlikuwa napenda kumnunulia baby bikini,kumbe amnunulia fungus na ut.i?!
 
wachina wanaangalia kupata pesa tu bila kujali afya ya mtu,mwaka 2009 kuna tani nyingi sana ya nyama ilishikwa malaysia ikitokea China,hio nyama ilibainika ni ya toka 1969 ilikuwa imegandishwa kwenye friji na kupulizwa vitu isiaribike.

marekani ndio wanawaweza wachina,ukileta kitu fake wananchi wanatangaziwa warudishe na walipwe na hizo bidhaa zilirudishwa china kwa gharama zao na fidia juu toka serikali.

wanaleta vitu original tu sasa,sheria kali ndio inahitajika
 

Kuna mdada huwa napenda kutaniana nae,kuna siku nikachukua mkoba wake akawa anaukatalia akiwa serious coz nilishazoea kutaniana nikaufungua mkoba nikakuta kabeba hiyo makitu,najiuliza mbona ana mume tatizo ni nini mpaka awe anamiliki gegedo bandia?
 
"mwanaume badala ya kuangaika kutoa vazi liloenea yeye uvuta tu kama vioo vya landrover 109" mwisho wa kunukuu, hii kali.
 
Hivi hii ndio sababu ya wadada kuwa na na UTI sio??? Kwasababu kwasasa hii UTI imeenea sanaaaa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom