Mahusiano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahusiano

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KiuyaJibu, Mar 31, 2011.

 1. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 740
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Habari zenu wana-JF wote na wale wanaotembelea tovuti hii,naomba nichukue nafasi hii kusema hili kwa mara ya kwanza hapa ndani ya JF.
  Ninahitaji msichana mrembo ambaye nitaanza naye uhusiano ambao utatupeleka katika uchumba na hatimaye kama tutaelewana na kukubaliana basi nitafunga naye ndoa na kuanzisha familia yetu pamoja.
  Ninaomba awe na sifa zifuatazo:
  1.Awe ni mzuri wa sura na tabia pia;
  2.Awe ni muumini wa dini ya kiislamu;
  3.Awe ni mtu wa kujishughulisha(muajiriwa au kajiajiri);
  4.Awe na urefu kuanzia futi 5 na kuendelea;
  5.Awe anajua kusoma na kuandika.
  Hizo ndizo sifa za msingi kwangu,mambo mengine ni ya kawaida tu;naomba kwa yeyote ambaye anajali katika hili ani-PM.Kwa mawasiliano zaidi.
  Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wote ambao watakuwa na lolote kuhusiana na ombi hili.
  Bye for now.
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Kaka nakutakia mafanikio katika hilo. Ila hiyo font mkuu ongeza kidogo wengine macho yetu ya kizee tunapata shida.

  Ila unaonyesha una heshima sana maana thread imekaa kiadabu adabu kweli.
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  tatizo wakaka munaweka vigezo vigumu sasa sijui wengine tuolewe na wanani????????
   
 4. LD

  LD JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,016
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kila la heri kaka
   
 5. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Duuh masharti magumu
  nitapata mchumba kweli jamani :crying::crying:
   
 6. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,570
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Wewe mwenyewe una sifa gani? Kama ni mlevi imekula kwako.
   
 7. k

  kisukari JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,563
  Likes Received: 798
  Trophy Points: 280
  best of luck.nimependa masharti yako,na uandikaji wako kama wa kiheshima fulani
   
 8. Salma osman

  Salma osman Senior Member

  #8
  Mar 31, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  All the best inshaallah!
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,054
  Likes Received: 3,804
  Trophy Points: 280
  Tulio na masharti na vigezo rahisi bado hatujajitokeza, kuwa mvumilivu!!
   
 10. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #10
  Mar 31, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,087
  Likes Received: 2,315
  Trophy Points: 280
  All the best...
   
 11. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  Kila la kheri....sijui kwanini vigezo vyangu vinaniweka pembeni jamani kila mara mtu anapotangaza.....sasa leo cha uzuri kimenitoa...:disapointed:
   
 12. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,358
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hivi kumbe unaweza kupata mchumba JF eh?
  Ngoja niandae vina na mimi ila kuoa hadi baada ya miaka 10 sijui kama yupo atakae weza kusubiri
   
 13. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,358
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  haha,uzuri unategemea na yeye atakuona vipi sio wewe unajiona vipi!
  Jitokeze tu usiogope
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  Mar 31, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 180
  Nishakutumia pm. Itafika muda si mrefu.
   
 15. e

  evaluator Senior Member

  #15
  Mar 31, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  HOW TO POST COMMENT:

  Naombeni mnisaidie jinsi ya share mawazo yangu kwenye jF,na namna ya kupost thread
   
 16. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 740
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Ni kweli kabisa.
   
 17. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #17
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 740
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Usiseme hivyo;kwasababu wewe mwenyewe huwezi kujua mpaka mtu mwingine akwambie hilo unalolisema.
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Mar 31, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Vigezo vyako viko wapi?Sema ili wanye sifa unazotaka wajue kama una sifa wanazotaka!
   
 19. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #19
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 740
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Sawa,nitarekebisha muda si mrefu.
   
 20. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #20
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 740
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Ok,ndiyo maana nikasema kwa yeyote ambaye anajali katika ombi langu ani-PM.
   
Loading...